joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Aiseeesijaona wa kufimkia radja kiukwel radja mpira anaupiga tena sio mpira wa masihara ni mpira wa kazkaz refer mechi yao na liverpool pale roma
huyo witsel mwangalie hvyo hvyo....kwani hujaona perfomance yake???????...walau ungemweka yuri tielmas ambaye anaonekana kutokuwa na uzoefu national team
huyo witsel mwangalie hvyo hvyo....kwani hujaona perfomance yake???????...walau ungemweka yuri tielmas ambaye anaonekana kutokuwa na uzoefu national team
Namfahamu vizuri radja.... Huwezi Nidanganya kitu.. Tatizo unangangania atoke witsel... C unajua kuwa Roma alikuwa akicheza mbele ya Danielle de rosi na Kevin strootman.... Witxel ni holding bro... Sasa tukimtoa witsel hyo sita atacheza nani kwa ufanisi??????Hivi umewah muona Rajda nainggolan akiwa uwanjani? au nikatika wale walolewa na PL tu?
Namfahamu vizuri radja.... Huwezi Nidanganya kitu.. Tatizo unangangania atoke witsel... C unajua kuwa Roma alikuwa akicheza mbele ya Danielle de rosi na Kevin strootman.... Witxel ni holding bro... Sasa tukimtoa witsel hyo sita atacheza nani kwa ufanisi??????
Nilifikiri youri tielmas ndio wa kuenguliwa
ulinena kweli mkuuRAJA ni mtu .. tuache utani.. Yote kwa yote Belgium anasindikiza tu bora hata MEXICO