Rajda Nainggolan atundika daluga timu ya taifa Ubelgiji baada ya kutemwa na kocha Roberto Martinez

huyo witsel mwangalie hvyo hvyo....kwani hujaona perfomance yake???????...walau ungemweka yuri tielmas ambaye anaonekana kutokuwa na uzoefu national team

Hivi umewah muona Rajda nainggolan akiwa uwanjani? au nikatika wale walolewa na PL tu?
 
Namfahamu vizuri radja.... Huwezi Nidanganya kitu.. Tatizo unangangania atoke witsel... C unajua kuwa Roma alikuwa akicheza mbele ya Danielle de rosi na Kevin strootman.... Witxel ni holding bro... Sasa tukimtoa witsel hyo sita atacheza nani kwa ufanisi??????

Nilifikiri youri tielmas ndio wa kuenguliwa
 
Radja ni holding mkuu kama humfahamu, Ameanza kucheza attacking roma hivi karibuni tu kwa vile wanakosa midfield wa kushambulia. Lakini namba yake halisi ambayo amekua akicheza miaka yote ni holding, na hata Belgium ndiyo anayocheza.

na huyo youri tielmas amechaza mechi ngapi kwani? unajua kama ameanza mechi moja tu mashindano mazima?

Radja alikua acheze yeye na De bruyne kati kama walivokua wanacheza mwanozo, na baada ya kubadilisha formation kuanzia robo fainal basi alikua acheze kati pale kati ya felaini na witsle mmoja alikua asubiri nje tu.
 
Back
Top Bottom