Rally ARUSHA

Yatarudi kibo palace?
 

Final result for today Nane Nane Rally Arusha.
 

Attachments

  • 1437849745041.jpg
    88.8 KB · Views: 155
Nafikiri wadhamini hakuna siku hizi,nakumbuka miaka ya 1990's Moshi/Arusha kulikuwa na mashindano mengi yalikuwa yanaanzia Kenya-Moshi-Arusha

Nadhani cha muhimu kuwe na mwamko kwanza.
Kuanze kuwa na street rallies badae wahamie national wise.
 
More Pictures
 

Attachments

  • 1437850634994.jpg
    53.2 KB · Views: 131
  • 1437850733281.jpg
    58.6 KB · Views: 129
  • 1437850792562.jpg
    86.8 KB · Views: 132
  • 1437850831442.jpg
    67.2 KB · Views: 127
  • 1437850863875.jpg
    77 KB · Views: 122

Mwaka huu hizi Rally za nane nane zimekuwa sponsored na Utrack na Radiowave ambapo kampuni zote ni za hapa hapa arusha.
 

Maintaining the racing car isn't a joke.
 
Gerad miller ni legend na napenda ashinde ila sijui kesho wanaanzia wapi na saa ngapi

Kwa sasa anaongoza ila ana kazi ngumi mbele ya ONKAR RAI kutoka kenya ambaye anamfatia kwa karibu sana wakiwa wameachana 6 seconds tu kwa first leg ya leo.
 
Babu Miller in action
 

Attachments

  • 1437852184974.jpg
    61.3 KB · Views: 149
I know mkuu.. Ndio maana yanabaki kuwa mashindano ya watu wenye kipato..

Hilo nalo neno ndo mana tunawaskia hapa kina somebody khan, rijth sijui nani huko.
Siwasikii kina lyimo sijui john sijui shemdoe sisi twatimuliwa tuu vumbi.
 
Hilo nalo neno ndo mana tunawaskia hapa kina somebody khan, rijth sijui nani huko.
Siwasikii kina lyimo sijui john sijui shemdoe sisi twatimuliwa tuu vumbi.

Wabongo wapo japo si wengi.. Huyo Salva aliyeshika namba 7 hapo juu ni mtoto wa kichagga..
saragossa nae kashaagiza Subaru yake mwakani wabongo tutaongezeka tu
 
Last edited by a moderator:
Dah iyo jump ya gurjit ni noma sana apo ndo kirit alipopata ajali kwa jump kama iyo Big up villain kwa pics broda
 
Today at the service park 17 km off road after meserani.
 

Attachments

  • 1437895205671.jpg
    81.7 KB · Views: 98
  • 1437895225310.jpg
    75 KB · Views: 90
  • 1437895244390.jpg
    86.8 KB · Views: 87
  • 1437895261471.jpg
    79 KB · Views: 85
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…