meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Yatarudi kibo palace?Yani ukifika meserani unaingia huko mbugani ambapo ndio rally iyakapofanyikia kwa mujibu wa maelezo tuliopewa japo magari yapo pale kisongo na yataanza saa 12 asubuhi hayo mashindano so kama unataka kushuhudia its better uondoke kwako saa 11 ili uwahi