Rally 'back pass' Bwalya

... Kocha aliyewahi kuwa Real Madrid. 😛 😛
 
Usijidanganye wewe kwamba bwalya alivyoingia ndo yanga ikarudi nyuma? Aujui game plan ya kocha kiufundi unaongea tu, Ilikuwa ni lazima simba ije kwa nguvu kutafuta bao na yanga aikuwa na cha kupoteza kipindi cha pili ivyo walianza kutumia counter attack na kupoozesha mpira pindi walipokuwa wanaupata iyo ni mbinu ya kocha Nabi kutotumia nguvu kubwa wakati washapata goli, kwanini ujiulizi waiachiwa wachezee mpira lakini kupata nafasi ya kumchungulia kipa diarra walikuwa awaipati walikuwa wanazimwa walipokuwa wanakaribia kwenye arch, sasa mpira wa ivyo auna manufaa yoyote wakina mugalu waliwekwa korokoroni
 
Nitajie mchezaji mmoja pale simba anaemzidi Bwalya ball balance and ball control
Kutoa mada JF hailipiwi kwa hiyo acha tu atoe mada. Bwalya kwa simba ndo pekee anaejua ampe nani mpira na wakati gani. Otherwise mtoa mada ni shabiki wa magazetini na vijiweni.
 
Kutoa mada JF hailipiwi kwa hiyo acha tu atoe mada. Bwalya kwa simba ndo pekee anaejua ampe nani mpira na wakati gani. Otherwise mtoa mada ni shabiki wa magazetini na vijiweni.
Umesoma title au umevamia tu?
 
Acha kukopi na kupaste majibu mkuu, nimemzungumzia bwalya kama mada yako, au nimezungumzia kitu gani hapo??
Ningekupa maneno ya kuudhi ila nimekusamehe.
Mada inazungumzia bwalya kupiga pasi za kurudi nyuma sasa wewe na wenzio mnakuja na mada zenu.

Utukane kwasababu gani? Kwani wewe bado mtoto usiyeweza kuheshimu mawazo ya wengine?
 
Kumbuka tu bwalya hajaonyesha nusu ya kiwango chake alichotoka nacho power dynamo tangu atue msimbazi kinapanda na kushuka.
 
kwa ushauri wangu,yanga tumchukue left footer magician..huyu mwamba anaupga mwngi kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…