Yuko wapi sasa hivi na anapafom vipi?Kila nikimtizama Rally Bwalya najiuliza kwanini Shiboub asisajiliwe kuziba nafasi ya Bwalya? Yule Msudani amemzidi kila kitu huyu dogo mzambia.
Uzi tayari.
View attachment 2065478
Bwalya hamna kitu paleMmelogwa
Aje awaulize wenzie kina lwanga alipigwa kanzu na maestro feisal mpka akavunjika mzee wa watu.Kwa kifupi tu ukiachana na ujio wa Shiboub a.k.a Zenadine Zidane Zaizou,huyu Raly Bwalya likipatikana soko auzwe au atolewe kwa nkopo uyu ntu.
Mfumo wa kocha PABLO naiona kuwa ni soka la haraka haraka...
Ndo maana utaona wachezaji wenye kasi waking'ara kwa sasa .. Mfano ni Dilunga, KIBU , KANOUTE , Sakho. Kagere... ....Ajbu alifeli mfumo. Sijui kwa Mugalu ..ngoja tuone.
Bwalya aongeze kasi ya kukimbia , na pasi za mbele..
Wanayanga mavi yanagonga chupi.
Mtajinyea muda si mrefu.
Kila nikimtizama Rally Bwalya najiuliza kwanini Shiboub asisajiliwe kuziba nafasi ya Bwalya? Yule Msudani amemzidi kila kitu huyu dogo mzambia.
Uzi tayari.
View attachment 2065478
Tumelogwa na Nguruwe pori semaji lenye meno ya njano Duniani.Mmelogwa
Alafu baada ya iyo kanzu mlibeba ibingwa?Aje awaulize wenzie kina lwanga alipigwa kanzu na maestro feisal mpka akavunjika mzee wa watu.
Tafsida ya mavi ni nini!?Tumia tafsida basi
Kwa hiyo mara ya kwanza Muddy alipigwa, halafu wenyewe wanasemaga wapo makini, hili ni tusi wamejitukana wenyewe Viporo FC.
Mmeanza kuokota makapi
Hii style pale ulaya inaitwa gegen pressing mamaeee.....simba tamu nyieMfumo wa kocha PABLO naiona kuwa ni soka la haraka haraka...
Ndo maana utaona wachezaji wenye kasi waking'ara kwa sasa .. Mfano ni Dilunga, KIBU , KANOUTE , Sakho. Kagere... ....Ajbu alifeli mfumo. Sijui kwa Mugalu ..ngoja tuone.
Bwalya aongeze kasi ya kukimbia , na pasi za mbele..