“Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini.
Timu hiyo imeshika nafasi ya 7 katika msimamo wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu huu 2021/22 kati ya timu 16.