Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
🤣Shida ya Simba wanasajili kwa kuikomoa Yanga hata kwa chama wamepigwa Chama sio mchezaji wa kupewa Million 700
HakikaVita dhidi ya mihadarati inabidi iongezwe.
Nenda wakupe wewe hiyo 700MlShida ya Simba wanasajili kwa kuikomoa Yanga hata kwa chama wamepigwa Chama sio mchezaji wa kupewa Million 700
Soka la bongo kivyetu vyetu misumari tu
Ungekuwa we kocha ungemtoa nani acheze Gadiel?!Tatizo wala sio Rally Bwalya.
Shida ni mfumo wa kocha. Tumeshuhudia jinsi Erasto Nyoni alivyokalishwa benchi na huyu kocha, Baada ya Nyoni kufanya vizuri kwenye timu ya Taifa ndio kocha kaumbuka na kuanza kumpa nafasi.
Wapo wachezaji wengine wanaoharibiwa kiwango chao na huyu kocha mfano Kahata, Gadiel na Kagere sio wabovu lakini kocha anakaribia kuua vipaji vyao.
ana pasi ndefu za maana sana anapiga long balls vizuri,mechi na jkt kule dodoma uliona simba inavyotakiwa kuwa ikiwa na strikers wawili ile mechi ndiyo simba ninayoijua mimi baada ya hapo UKICHANGANYA MISUMARI +UJINGA W AKISHINGO=sielewielewi yanayoendeleaTokea mwanzo nilijua Bwalya ni mchezaji wa kawaida sana. Mipira ya nguvu haiwezi na hana pasi za mwisho zenye madhara.