Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
- Thread starter
- #101
Na huo ndio ukweriiiiiMakolo wamezoea kupigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndio ukweriiiiiMakolo wamezoea kupigwa
Overrated playerKwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!
Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda!
Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasabya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu! Huwezi ukamnunua mchezaji kwa bei kubwa halafu mechi kama ya juzi ya Plateau anawekwa benchi na mchezaji mzawa kama Mzamiru Yassin!
Ni hayo tu, povu ruksa!