momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
We umeongea kishabiki sana.ulichokiongea sikweli.Tokea mwanzo nilijua Bwalya ni mchezaji wa kawaida sana. Mipira ya nguvu haiwezi na hana pasi za mwisho zenye madhara.
Aliyekwambia chama alipewa millioni 700 ni nani?Shida ya Simba wanasajili kwa kuikomoa Yanga hata kwa chama wamepigwa Chama sio mchezaji wa kupewa Million 700
Million 700 yaweza kuwa thamani ya mkataba wote.Aliyekwambia chama alipewa millioni 700 ni nani?
Hakuna mchezaji wa kibongo analipwa hata 10Mil per month. Acheni uongo wenu... Ngoja tutaona January maana TIN zao ziko waziMillion 700 yaweza kuwa thamani ya mkataba wote.
Hela ya usajili 300M. Mshahara wa 16M kwa mwezi ndani ya miaka miwili inakupa hiyo 700M.
Hii paragaraph ya mwisho, nakubaliana na wewe 100%Tatizo wala sio Rally Bwalya.
Shida ni mfumo wa kocha. Tumeshuhudia jinsi Erasto Nyoni alivyokalishwa benchi na huyu kocha, Baada ya Nyoni kufanya vizuri kwenye timu ya Taifa ndio kocha kaumbuka na kuanza kumpa nafasi.
Wapo wachezaji wengine wanaoharibiwa kiwango chao na huyu kocha mfano Kahata, Gadiel na Kagere sio wabovu lakini kocha anakaribia kuua vipaji vyao.
Hakuna mchezaji wa kibongo analipwa hata 10Mil per month. Acheni uongo wenu... Ngoja tutaona January maana TIN zao ziko wazi
Chama alilipwa dola 72000 uki convert kwa shilling haifiki million 300 km ulivyoainisha.Million 700 yaweza kuwa thamani ya mkataba wote.
Hela ya usajili 300M. Mshahara wa 16M kwa mwezi ndani ya miaka miwili inakupa hiyo 700M.
Kiongozi sina uhakika na hizo figures. Hiyo yaweza kuwa kianzio mwaka wa kwanza. Ni kama nusu yake.Chama alilipwa dola 72000 uki convert kwa shilling haifiki million 300 km ulivyoainisha.
Nishasema hakuna mchezaji BONGO anakula mshahara wa 10 Mil per month.. Marupurupu bado, tena mnakaa kambini na chakula mnakula free hapo. HAKUNA NI KICHAKA CHA KUONESHA WADHAMINI WANATOA PESA NDEFU. UONGO KAMA HUU MWISHO WAKE NI 31 DEC.Walimu wako shukeni walipata sana tabu
tatizo hawewezi kucheza wachezaji wote 24 kwenye mech 1Tatizo wala sio Rally Bwalya.
Shida ni mfumo wa kocha. Tumeshuhudia jinsi Erasto Nyoni alivyokalishwa benchi na huyu kocha, Baada ya Nyoni kufanya vizuri kwenye timu ya Taifa ndio kocha kaumbuka na kuanza kumpa nafasi.
Wapo wachezaji wengine wanaoharibiwa kiwango chao na huyu kocha mfano Kahata, Gadiel na Kagere sio wabovu lakini kocha anakaribia kuua vipaji vyao.
Watumua Mwamedi, Morrison nae sijui aliwapiga sh ngap, maana Hawa jamaaa kwa kupigwa hawajambo kichuya kashasababisha wapigwe million 300+UKWELI USEMWE.
SIMBA INAIDADI KUBWA SANA YA WACHEZAJI WABOVU HASA PRO AMBAO NINGEKUWA KIONGOZI SIMBA NINGEACHANA NAO NI HAWA WAFUATAO...
1. PASCAL WAWA.
2.JOASH ACHENG.
3 .KAHATA.
4. BWALYA.
5. MORISON AMESHINDWA......
6. MUGALU NAE AMESHINDWA KABISA.
WANAOFANYA VIZURI NI.
1. CHAMA
2. KAGERE.
3.MISQUSON.
KWAHERI FLAGA.
Mbona umekomalia mini kinaenda kutokea hiyo December halafu mbona unawawkia simba tu siyo Azaam au utopoloNishasema hakuna mchezaji BONGO anakula mshahara wa 10 Mil per month.. Marupurupu bado, tena mnakaa kambini na chakula mnakula free hapo. HAKUNA NI KICHAKA CHA KUONESHA WADHAMINI WANATOA PESA NDEFU. UONGO KAMA HUU MWISHO WAKE NI 31 DEC.
P.A.Y.E itasema mshahara halisi wa wachezaji mmezoea kuwadanganya mashabiki mpka kero sasa. Mara kocha wa SIMBA analipwa MIL 30 per month, hizi fix zina mwisho.
13 na BMW Mpya na hela ya kusaini 180 milioniChama analipwa shs milioni 12 kwa mwezi