Rally Bwalya Simba wamepigwa mchana kweupe!

Tatizo ni huyo Mudi anajifanya kila kitu anajua
 
Best midfielder ever nchi hii waliopata tokea Ila kocha atammaliza hivi hivi
 
Unaakili na jicho kubwa sn
 
Kumbe kishingo ni mchawi kabisaaaaaa
 
Bwalya ni kama alivyoanza Fraga.
Alianza kama m'bovu lakini kila anavyoondelea kucheza anaimarika vizuri.
Goli la pili aliassist yeye baada ya kupiga machine kali golikipa akatema Kapombe akamalizia nyavuni goli la pili.
Goli la tatu pia aliassist yeye baada ya kumpokonya mpira Chama na kudrive na kumpa John Boko aliye usindikiza nyavuni kiulaini kabisa goli la tatu.
Mchango wa Bwalya jana ulikuwa mkubwa sana.
 

Kuweka rekodi sawa, goli la pili la alilofunga Shomari Kapombe ile sio assist yaani kwa kifupi hakuna assist kwakuwa golikipa wa timu pinzani alishagusa hivyo Shomari aligunga rebound ambayo haina assist!

All in all jana Bwalya alitakata sana, nadhani mechi ya jana itakuwa imemjengea hali kubwa sana ya kujiamini!
 

Form is temporary but Class is permanent!
 
Ila mugalu aende kwa mkopo namungo hamna kitu pale
 
Kuna mchezaji wa simba alikuwa amevaa namba 8 naomba kujua jina lake tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…