Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Lini hii?View attachment 1864492View attachment 1864494
Dave Sihoka, kulia, (mwenye mavazi rasmi ya mbio za magari) Zambian international rally navigator akiwa na Joab Ambukege Kakuyu, dereva wa Lori kutoka Rungwe Mbeya aliyefika DAR es Salaam kushuhudia ufunguzi wa mbio za magari.
Mashindano yatafanyikia Ubena Zomozi
BMW M5Na gari gani? Mshana Jr atakuwepo na ungo new model v8
Ni balaaHio Polo nimeisikia Moto wake huko Kenya
VW naona hawana utani kwenye mwendo kasi 😀😀Hio Polo nimeisikia Moto wake huko Kenya
Leo, ulikuwa Ni ufunguzi, shughuli ni kesho na kesho kutwa Ubena ZomoziLini hii?
Ford Fiesta R3 vs Mitsubishi Lancer Evo XHio Polo nimeisikia Moto wake huko Kenya
Ila Ina hirizi a.k a the amuletSubaru chakavu kuliko zote
Wahindi wanapenda sana haya mambo, ila kuna kila dalili za wao kuchapwa vibaya sana na Pole R5 😀😀Holy Man, Wahindi na Subaru zao zilizo choka wanategemea
UCHAWI zoom KWENYE mshale mwekunduView attachment 1864615