hiv huyu kijana anashindwaje kun'gaa wakati ana anatoaga ngoma kali na zenyeh unique ambapo uwezi ukapata kwa msanii yoyote kiukwel kabisa sijaona Tanzania msanii mwenye kufika hata robo ya uwezo wa huyu jamaa lakini Cha ajabu ngoma zake azifanyi vizuri japo ngoma zake ni Kali kwelkwel kuliko hata za wasanii wenzake ebu sikiliza ngoma zake hapo