Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ati?
Ila Clouds Media kwa kutengeneza watu mbadala hawajambo...
Alivyoondoka Gardener Habash bado nikawa naisikia sauti ya jamaa kwenye matangazo yao hasa ya kuinadi FM ACADEMIA (Ile sauti sijui ya jamaa gani...alitembea mulemule)
Baada ya Ray C kukabwa na unga kooni,Recho na 'Upepo' wake uka-cover nafasi ya mtoto wa Chalamila..
Ruby nae akasusia pilau,kisa halina kachumbari,kutahamaki, kigoli Nandi akalila pilau lote.....
Sijasikia tu mbadala wa Komando Jide...
Shubaaamit!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hao wote waliingizwa mkenge na sugu, mwenzao akamalizana na clouds wakabaki wenyewe hawaelewi pa kuanzia, gud for him
Dhuuuu!!!! Msenge huyo nmeshushaRama d ndio kaomba msamaha!
Mbele ya hadhara kabisa
Jide hawez kufanya huo upuuzJide nae walishayamaliza tangu kesi yake na Ruge ilivyoisha na akaruhusu nyimbo zake zipigwe, clouds wao wakasema zitapigwa ila mpaka azilete studio kitu ambacho sidhani Jide atafanya kwenda