Rama Dee: "Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye kazi"

Babake au babu yake utakuta anamiaka 70 lakin analima na kifo tu ndo kitampumzisha na hata mara 1 haja wahi mwambia baba ama babu pumzika kakalia kuimbaimba tu hatahavumi...kila siku ye mpya kwenye game!!!
 
Huyo dogo ditto bangi bado zinamsumbua
 
Kutoka kuitwa Fisadi Papa mpaka Mzee Wa watu aka Rais Wa mioyo jamani Kweli PESA Mwanaharamu

Ccm wameshakula na hela za rambi rambi Arusha eti wametumia milioni 190 kwa sherehe na wafiwa wamepewa milioni 3 each
 
Imebidi nishangae ,huyo Lowasa yupo kimya kabisa mzee wa watu wala haonekani kwenye media ,sasa kawazuia vipi watu kufanya kazi?

Huyu Ramadee naona anatafuta kiki anajua akimtaja Lowasa watu watamdiscus tofauti angemtaja kipara ngoto
Haaaa haaaa haaaa mkuu umenifurahisha eti kipara ngoto
Mhhh Lowasa mzee wa watu yupo kimya kabisa but bado ni shiida
 
Kutoka kuitwa Fisadi Papa mpaka Mzee Wa watu aka Rais Wa mioyo jamani Kweli PESA Mwanaharamu

Ccm wameshakula na hela za rambi rambi Arusha eti wametumia milioni 190 kwa sherehe na wafiwa wamepewa milioni 3 each
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…