Babake au babu yake utakuta anamiaka 70 lakin analima na kifo tu ndo kitampumzisha na hata mara 1 haja wahi mwambia baba ama babu pumzika kakalia kuimbaimba tu hatahavumi...kila siku ye mpya kwenye game!!!Msanii wa rnb Rama Dee wakati akihojiwa kwenye kikaangoni eatv, ametoa ushauri kwa Lowassa juu ya uhusikaji wake kwenye siasa,
"Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye Nazi, kwa kawaida wazee wetu wakifika miaka 55 au 60 ni umri wa kupumzika"