Lawama zote tuwatupie wanawake ...wao ndo mashabiki wakubwa wa muziki wa rnb
Me nahc kwa dunia ya sasa kuwa na kipaji Cha kuimba pekee bado haitoshi ,Kuna kujiongeza kwa ku creat attention kwa watu, swala la muonekano ni muhimu pia , promotion ndo kabisaaa swala la muhimu, Rama Dee kakosa muonekano, promotion ndo kabisa Wala Hana mpango huo ..ni km anaringia kipaji chake so anabaki tuu kuitwa mkali ..huku uzee unanukia
Ni vizuri kama ana ishu nyingine, maana huwa sifurahii kabisa kumuona msanii ana uwezo mkubwa halafu ni choka mbaya mfukoni kisa sanaa haimlipi.Huyu muziki anaimba kama hobi tu, nilishawahi kuzungumza nae akasema ana ishu nyingine kabisa ndo zinamfanya kuwa bize. Lakini hajaamua kuingia kwa miguu yote kwenye muziki kama ilivyo kwa Mad Ice nowdays...
Australia ww Denmark ya wapi?Rama dee yuko Denmark anamaisha makubwa tu. / mziki hawezi kuangaika nao sana
Wote wanasemaga hivyo wakiona maji marefu ila moyoni nafsi zinawasutaHuyu muziki anaimba kama hobi tu, nilishawahi kuzungumza nae akasema ana ishu nyingine kabisa ndo zinamfanya kuwa bize. Lakini hajaamua kuingia kwa miguu yote kwenye muziki kama ilivyo kwa Mad Ice nowdays...
Kuwa na subiraugomvi wake na clouds wakati huo ulichangia kwa kiasi kikubwa jamaa kutoka kaa kwenye Ramani
track list bora kwang toka kwa jamaa
1. Sio waoaji hao
2. kipenda Roho
3. Kikao cha famili
4. Sara
5. Usi hofie wacchaga
.
.
.
listi ni ndefu
Basi sawa.Australia ww Denmark ya wapi?
Nae alikorofishana nao nniugomvi wake na clouds wakati huo ulichangia kwa kiasi kikubwa jamaa kutoka kaa kwenye Ramani
track list bora kwang toka kwa jamaa
1. Sio waoaji hao
2. kipenda Roho
3. Kikao cha famili
4. Sara
5. Usi hofie wacchaga
.
.
.
listi ni ndefu