Rama Dee tatizo ni nyota au ni nini jamani?

Rama Dee tatizo ni nyota au ni nini jamani?

Jamaa anajua
Syo Hawa wengine wanapiga kelele tu ngolo ngolo lolo,
Rama dee Ana truck nyingine kali inaitwa
Kwa akili yangu nayo nzuri sana

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaoimba mziki wa kipuuzi puuzi usio hata na ujumbe ndo wanatoboa....dunia haipo sawa asee
 
Aina ya mziki anaoimba
Wabongo Imba matusi, sijui ngololo, Inama nkuchomeke nkupake mafuta hapo utatusua

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114] bongo ni hatari,haswa hiki kizazi cha 2000's ndo majanga ukiwaambia msanii fulani anaimba matusi asee badala atabaruku kidogo kuhusu hoja yako yeye ndio huwa wa kwanza kukutukana
 
Rama D ni ukusanye hizo takataka za kina domo na kibakuli na kenge wengine wote bongo na hupati hata robo ya kipaji cha huyu mwamba mwenye sura ngumu ila sauti na mashairi yanayomtoa nyoka pangoni.
 
ugomvi wake na clouds wakati huo ulichangia kwa kiasi kikubwa jamaa kutoka kaa kwenye Ramani

track list bora kwang toka kwa jamaa
1. Sio waoaji hao
2. kipenda Roho
3. Kikao cha famili
4. Sara
5. Usi hofie wacchaga
.
.
.
listi ni ndefu
Kwani Alimfanya nini Ruge Aisee ?

Huyu jamaa Anajua sana Yaani
Nilikua najiuliza kwani Anakwama wapi mbona sio mkubwa kama kipaji chake!
 
asilaumiwe msanii walaumiwe mashabiki wa msanii wengi wenu unafiki umewazid kaz kusifia tu kwenye show hamuonekan msanii anafeli kutokana na mashabiki wake
 
Baada ya huyu mwamba wa pili anayefuatia Ni jamaa wa kuitwaga Steve wa r&b.Huyu jamaa namkubali pia.
 
Back
Top Bottom