Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Hujionei aibu nafsi yako ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Unajipigia promo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujionei aibu nafsi yako ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Unajipigia promo
[emoji7]Siku ukibahatika kuangalia kipindi Cha Sport AM utakubaliana na mtoa mada. Jamaa sio takwimu tu, hata mathematically yuko vizuri pia.
Yaani kukuambia tu kua msimu wa 2019/2020 Simba alimaliza na points labda 76 anaweza akaona haitoshi, akakupa na %ge kabisa hizo points ni asilimia ngapi ya points zote kama angeshinda mechi zote.
Kuchukua magoli aliyofunga labda Kagere ni % ngapi ya magoli yote ya Simba msimu huo ni hesabu ndogo sana kwake kwa kichwa. Au magoli ya Simba ni % ngapi ya magoli ya ligi nzima ni hesabu ya sekunde tu.
Akikuchambulia performance ya Yanga ya msimu labda 2018/2019 unaweza kusema labda anashindaga muda wote akikariri huo msimu tu. Utakachokuja kushangaa ni pale atakapokupa data za hata misimu minne mbele yake au nyuma yake, na ya timu mbalimbali, sio hiyo Yanga tu.
Mwamba sana yule jamaa!Huwezi kumfahamu, Mimi namzungumzia Dr Ricky wa hunting company na TAHOA.
Huyu siyo chawa wa team yoyote Tanzania na hafanyi uchambuzi kutafuta pesa ys kula, tayari mpunga anao.
[emoji1787][emoji1787]Kwa nini usikubaliane na Mimi kwamba Mbwaduke na Kiemba ndo Wachambuzi pekee Tanzania wengine ni Vichwa-mbuzi? Maana hao wengine huwa wanachambua nini labda zaidi ya kupiga kelele na hadithi kama za Chitemo?
[emoji7][emoji7]Nadhani ni Mbwaduke, Kiemba na Ibrahim Kasuga
[emoji106]Bila shaka, sina cha kukupinga hapo
Hajafa, siyo kwamba alikuwa anajuwa Bali anajuwa.Mwamba sana yule jamaa!
Alikuwa anajua mno.
Ni kweli anajitahidi kwa kweli. Hongera kwake.Huyu ni mtaalumu wa hesabu pia, advance alisoma PGM hivyo ana uwezo mkubwa wa IQ ndio maana anakalili na kukokotoa takwimu mbalimbali kwa kichwa na kwa wepesi kuliko hao wengine wazee wa "hakuna kusoma kufaulu lazima = HKL".
Huwezi kumfahamu, Mimi namzungumzia Dr Ricky wa hunting company na TAHOA.
Huyu siyo chawa wa team yoyote Tanzania na hafanyi uchambuzi kutafuta pesa ys kula, tayari mpunga anao.
nakuunga mkono
Bongo tuna wachambuzi wengi na wengine maarufu sana. Wachambuzi wengi maarufu ni wa kawaida sana wanasimulia hadithi badala ya kuchambua. Wanaeleza matukio ambayo hata mimi mtu wa kawaida kwenye tasnia nayajua.
Lakini kuna mwamba Ramadhani Mbwaduke, huyu ni shujaa asiyeimbwa. Huyu sasa ndio mchambuzi raha sana kumsikiliza kwa sababu anakupa vitu usivyojua.
Hapa bado hajakupa takwimu. Huwa nafikiria kama akili yake ya kukariri takwimu angeitumia kwenye mambo mengine angefika wapi?
Binafsi hutazama kipindi cha Sport AM cha Binzubeir kwa ajili ya kumsikiliza Bwaduke tu.
Binzubeir kama unanisoma humu, kesho kwenye kipindi cha Sport AM mwambie Mbwaduke namkubali sana. Ni shujaa asiyeimbwa

Kilaza mwenyeweKilaza tu
Siku ukibahatika kuangalia kipindi Cha Sport AM utakubaliana na mtoa mada. Jamaa sio takwimu tu, hata mathematically yuko vizuri pia.

[/QUOTE