Rama Mbwaduke ni shujaa asiyeimbwa

[emoji7]
 
Huwezi kumfahamu, Mimi namzungumzia Dr Ricky wa hunting company na TAHOA.

Huyu siyo chawa wa team yoyote Tanzania na hafanyi uchambuzi kutafuta pesa ys kula, tayari mpunga anao.
Mwamba sana yule jamaa!

Alikuwa anajua mno.
 
Kwa nini usikubaliane na Mimi kwamba Mbwaduke na Kiemba ndo Wachambuzi pekee Tanzania wengine ni Vichwa-mbuzi? Maana hao wengine huwa wanachambua nini labda zaidi ya kupiga kelele na hadithi kama za Chitemo?
[emoji1787][emoji1787]
 
Huyu ni mtaalumu wa hesabu pia, advance alisoma PGM hivyo ana uwezo mkubwa wa IQ ndio maana anakalili na kukokotoa takwimu mbalimbali kwa kichwa na kwa wepesi kuliko hao wengine wazee wa "hakuna kusoma kufaulu lazima = HKL".
Ni kweli anajitahidi kwa kweli. Hongera kwake.
 
Huwezi kumfahamu, Mimi namzungumzia Dr Ricky wa hunting company na TAHOA.

Huyu siyo chawa wa team yoyote Tanzania na hafanyi uchambuzi kutafuta pesa ys kula, tayari mpunga anao.

Mimi namzungumzia huyu,
Anaitwa "Dr" Licky Abdallah,

Huyo wako wa Ricky Abdullah una picha yake? Au tunazungumzia mtu mmoja?

Manake nimesema huyu naemzungumzia ni wa mambo ya Tourism. Nawe umesema unaemzungumzia ni wa mambo ya Hunting na TAHOA ambayo ni hiyo hiyo Tourism.
 
nakuunga mkono

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Kilaza tu
 
Watanzania ni wavivu kufuatilia vitu ,by the way namkubali Ila sinaga uhakika na anayosemaga hasa takwimu maana hata Mimi nikiwa shule ya upili nilikuwa nikisimama kwenye midahalo nilikuwa natoa takwimu za uongo haijapata kutokea lakini bado nilipigiwa makofi nakuitwa master wa takwimu .

Hii unamaanisha kuwa bongo unaweza pika data na ukaaminika na hakuna wa kufuatilia ukweli wa data utoazi hivyo hata kwa beana Mbwaduke nalo Hilo linawezekana pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…