Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno.
Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya kuwafanya vijana Hawa sehemu ya kuitangaza nchi yetu kwa kuwawekea mazingira mazuri.