Tuko serious na siasa na wanasiasa wa chama chawala tuuKama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno.
Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya kuwafanya vijana Hawa sehemu ya kuitangaza nchi yetu kwa kuwawekea mazingira mazuri.
Serikali inapaswa iwe na priorities kwenye michezo na burudani. Ijikite kuwekeza kwenye michezo tuliyo na uwezo nao (vipaji) na siyo kuforce michezo ambayo hatuna talents hizo. RAMADHAN BROTHERS WAMETUTANGAZA SANA, SERIKALI IWAUNGE MKONO SANA.
Wenzetu Kenya na Ethiopia walishajua kwa asili ni wakimbiaji wazuri hivyo wmewekeza sana kwenye riadha badala ya football. Hali iko hivyo hivyo na kwa India (cricket), USA (basketball), n.k. SISI WAPUUZI TUNALAZIMISHA KUWEKEZA KWENYE SOKA TUSILOLIWEZA. Mbona tuna mabondia wazuri tu walioleta mikanda ya Africa na zaidi ya hapo, kwanini tusiwekeze kwenye michezo kama hiyo?
😆🤣 Kwamba michezo tunayoiweza ni ufisadi na fix pekee?Kuna mchezo wa ufisadi na fix?
😆🤣 Kwamba michezo tunayoiweza ni ufisadi na fix pekee?
What? Serious ?Mmeanza.
Watu wamejipambania wenyewe sahivi viherehere vimeanza tena!
Serikali hii inayopeleka Mwijaku Ulaya akatangaze utalii.
Acheni wenge wamejipigania Sana kufika hapo,
Sasa mmeamka na miwasho et wataitangaza nchi, unazungumzia uchi gani??[emoji15]