Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Aya ya mwisho ndo jibu sahihiMods, naomba nitangulize maneno haya, hakuna lengo la kukashifu dini, bali ni kujadili tu.
Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.
Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.
Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Aiseee this people kheri niwe mPAGANView attachment 1752923
Tujikumbushe kwanza Shehe alisemaje🤨
Fanya hivi,njoo Qadiriya Twarika uone mafundisho yasiyo na msimamo mkali wa mwanadamuAiseee this people kheri niwe mPAGAN
Alitubu kwa Mungu,ukiomba msamaha,Mungu anakusamehe.Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.
Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.
Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?
Ipo wapi?Fanya hivi,njoo Qadiriya Twarika uone mafundisho yasiyo na msimamo mkali wa mwanadamu
Alitubu(aliomba msamaha kwa Mungu),Mungu ameshasema anasamehe,kwa yoyote atakayemuomba msamaha.Hafi..labda wamroge
Hata asingeomba asingekufa. Hufi kwasababu ya mjinga mmoja anasema unakufaAlitubu(aliomba msamaha kwa Mungu),Mungu ameshasema anasamehe,kwa yoyote atakayemuomba msamaha.
Dhambi kwa MunguHafi..labda wamroge
Mi nadhani huyo Sheikh tumdai fidia, hawezi kutudanganya kiasi hiki.Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.