Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
Niseme wazi Mimi ni Muislam wa kuzaliwa, pia nimekua katika malezi ya dini mchanganyiko.
Kisa cha Afande Sele kumuhoji Mungu baada ya kifo cha JPM kinajulikana. Pia, yupo sheikh mmoja maarufu, Kishki alisoma dua kuwa afande afariki kabla ya kuanza mfungo Ramadhani. Lakini hadi sasa hajafa.
Hii tafsiri yake nini?
Dua ya kishki ni batili? Mungu hajaipokea? Au Mungu hatendi mambo tumfikiriavyo sisi wanadamu?