kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaompenda wamemshauri aombe msamaha,ila ni too late
Dogo ana ushahidi wa text msg,hao mikia labda ndio wanaomshawishi aombe msamaha ili lipite,hii tabia mikia mnayo kitambo sana,kuna mwingine huko kaibuka ana video kabisa mkiwahonga kina manula na nyoni ili muifunge azam wakati wakiwa azam,na bado kuna wachezaji kibao wa vpl wana ushahidi dhidi yenuWanaompenda wamemshauri aombe msamaha,ila ni too late
Hiyo text namba, simu imesajiriwa kwa jina SIMBA SC au unadhana ushahidi wa sms ni wa hivi hivi. Meseji hata wewe unaweza kumtumia tu achen undeziDogo ana ushahidi wa text msg,hao mikia labda ndio wanaomshawishi aombe msamaha ili lipite,hii tabia mikia mnayo kitambo sana,kuna mwingine huko kaibuka ana video kabisa mkiwahonga kina manula na nyoni ili muifunge azam wakati wakiwa azam,na bado kuna wachezaji kibao wa vpl wana ushahidi dhidi yenu
Kwa nini alifukuzwa?Takukuru wanaanzia hapoUkiambiwa uthibitishe unaweza au unaishi kupitia porojo za mtaani?
uneducated by Aussens...Simba walitaka Kabwili apate kadi ya njano asiwepo kikosini...ndio maana wakawanunua Kevin,Dante na Gadiel ..Zahera alisema mabeki watatu walitoka kambini usiku bila kupewa taarifa
Subiri mechi ya simba na yanga azam cup itachezwa nusu fainali au mapema tuwashikishe adabu ,tunataka tuongeze malalamikokaongea ukweli mtupu...kipa wa Mbao alipewa pesa Kirumba mkashinda 3-2 akafukuzwa kwenye timu bahati ni mwalimu anafundisha shule...walivyomshindwa Kabwili wakawapa hela Kevin,Dante na Gadiel....sasa hivi kuna chapa GSM na Taifa gas haongeki mtu
Malalamiko fc mpo mwaka wa tatu huu bado saba ndio mkakati ,simba nguvu mojaSimba inaongoza kwa viongozi wake kukabikliwa na tuhuma za rushwa. Baadhi ya tuhuma zimefika kortini na kuwa mashitaka. Rage alisafishwa na mahakama kuu kwa kosa la kiundi.
Utafika muda yatawekwa wazi. Matokeo ya mechi za ugenini (nje ya nchi) wanakoshindwa kununua wachezaji au ma refa ni ushahidi tosha.