Ramadhan Kabwili: “Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”

Subiri mechi ya simba na yanga azam cup itachezwa nusu fainali au mapema tuwashikishe adabu ,tunataka tuongeze malalamiko

Malalamiko fc mpo mwaka wa tatu huu bado saba ndio mkakati ,simba nguvu moja
Subiri msimu uishe.
Kununua mechi mwisho baada ya tuhuma za Kabwili. Hicho kitu kipo well documented na safari hii Mo anaondoka kweli tena kwa aibu kubwa.
 
Subiri msimu uishe.
Kununua mechi mwisho baada ya tuhuma za Kabwili. Hicho kitu kipo well documented na safari hii Mo anaondoka kweli tena kwa aibu kubwa.
eti mwekezaji , wakati ni li mwizi tuu lililokuja kuharibu soka la TZ kwa kuhonga honga tim pinzan, marefa, tff na wasaka tonge wengine huku TAKUKURU wakiwa wamelala usingizi wa pono……….pambaaafuuu kabisaa!
 
eti mwekezaji , wakati ni li mwizi tuu lilikuja kuharibu soka la TZ kwa kuhonga honga tim pinzan, marefa, tff na wasaka tonge wengine huku TAKUKURU wakiwa wamelala usingizi wa pono……….pambaaafuuu kabisaa!
We subiri tu kifikishwe TAKUKURU hadi akimbie nchi
 
hiyo kesi itafukiwa tu ni kweli simba walitaka kumuhonga, simba ndio mchezo wao huo wanajulikana,
 
Kwahiyo hizo mbili za awali alizozipata alihongwa na team gani?
 
Kwa Simba siyo story
 
 

Kabwili ushapata meneja wa kukupeleka ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…