Tumia akili kufikiri na sio hisia,kuajiri kwa mtindo wa mikataba ndio nini?,je wapi uliona watu wanafanya kazi pasipo mikataba??.
Kama ulikuwa una manisha kufanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi,nadhani inatakiwa ujifunze zaidi kwa nini Serikali zote duniani ajira za utumishi wa umma ni kwa nini ni za kudumu.
Kuhusu Watumishi wa mma kuwa incompetent, inawezekana ikawa ni kweli au sio kweli-Mimi,wewe na hao Watumishi sote in zao la mfumo wa Serikali hii ya CCM kama wapo hivyo basi lawama ziende kwenye jamii yako na wewe ambao mnashindwa kuchagua viongozi wazuri wa kutengeneza mfumo mzuri wa kiutendaji,kielimu na kiuchumi.
Acha kunyosha vidole,huku chanzo cha matatizo yote ni wewe na jamii yako inayotengeneza mifumo yote ndani ya Nchi.