Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

Kwani Uongo Mtani. Mnasajili hadi Wahindi.

Namuona Mtani wangu Penison anaiongezea uzito na ile Post yake ya mwanzo. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hahaha yani sasa hivi nasikia hata gadiel huwa anavuja kazi yake ni kubutua mbele tu wala hana hata ball control.
 
Kwani Uongo Mtani. Mnasajili hadi Wahindi.

Namuona Mtani wangu Penison anaiongezea uzito na ile Post yake ya mwanzo. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Tp Mazembe wamemsajili Eliud Ambokile kutoka Mbeya City wameonekana wajua kusajili ,wamemsajili Singano wameonekana wanajua sana lakini Simba waliomsajili Deo Kanda kutoka hapohapo Mazembe wameonekana ni mambumbumbu wa mwisho.
 
Natamani wnagemuona na Mohamed Ibrahim na Maecel Kaheza,humu kwetu tunaongoza kuua vipaji...All the best dogo washindwe nawalegee wote wanaokuombeaga mabaya!
 
Naona Ngasa katusua ! Vyura F.C kwa mashauzi bwaaaana.
 
Tp Mazembe wamemsajili Eliud Ambokile kutoka Mbeya City wameonekana wajua kusajili ,wamemsajili Singano wameonekana wanajua sana lakini Simba waliomsajili Deo Kanda kutoka hapohapo Mazembe wameonekana ni mambumbumbu wa mwisho.
Mkuu kinachotia shaka ni Umri wa Deo Kanda....hivi unajua kuwa huyu ndiye jamaa aliyekuwa anamchezesha ndombolo Nsajigwa Taifa miaka kumi iliyopita! washabiki wajinga wa Simba wakawawanashangilia! Then kipindi cha pili Kocha wa Stars akamwingiza Chollo naye akachezeshwa mayenu! πŸ˜‹ πŸ˜‹
 
Huyu huyu singano baadhi ya watu wanao mbeza leo utakuja kushanga mwakani katika kuwania Kuingia AFCON utasikia ana namba timu ya Taifa alafu ajibu ana sugua benchi
Hilo litatokea Soon,Messi namba yake ipo Timu ya taifa atawaacha akina Ajib
 
Mashabiki wa ile timu walikua wanamwombea mabaya sana. Na alipotemwa Azam walifurahia kwelikweli.
Hongera Rama, acha kina Ajibu wakomae Bongo wakijipima uwezo wao na lipuli
ajibu bhana,wenzake (eliud ambokile & singano)wanatoboa kimataifa yeye anatoboa kitaifa pale mitaa ya kariakoo
 
Tp Mazembe wamemsajili Eliud Ambokile kutoka Mbeya City wameonekana wajua kusajili ,wamemsajili Singano wameonekana wanajua sana lakini Simba waliomsajili Deo Kanda kutoka hapohapo Mazembe wameonekana ni mambumbumbu wa mwisho.
Tatizo level mlizokuwa mmejiweka Mtani sasa mkichukua magarasa tunawashangaa.
 
Hahahahahahahahah Singano ana miaka mingapi?? Kuna development ya mchezaji wa miaka 27 kwenye mpira.
 
Naomba niweke kumbukumbu sawa.... Wakati contract ya Messi inaelekea ukingoni... TP wakapiga hodi CHAMAZI kumuulizia Mess na Sure Boy! Messi akawaomba Azam asiongeze contract ili aende TP kujaribu bahati yake! Azam wakamkubalia! Hii pia ilitokea kwa HIMID MAO! Huku pia sure boy akafanya maamuzi km ya Ibra Cadabra - Kubaki!
 
Singano kasaini kandarasi ya miaka mitano mazembe kwahiyo hata asipofanya vizuri ana uhakika wa kula mshahara kwa miaka mitano, ni wachezaji wangapi simba na yanga wanamikataba ya miaka mitano?

Bila shaka hao Tp Mazembe watamuanzishia program maalum kwa ajili ya kuimarisha stamina yake. Kwenye kipaji hakuna asiyemtambua! ila kwenye suala la lishe na gym, nadhani hakuna namna, ni lazima wapambane ili dogo awe mchezaji aliyekamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…