Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Haikuwà bora alafu imewàdunga mbumbumbu fc goli zakutoshaMkuu Nina Mashaka sana na TP Mazembe maana hata timu ya mwaka huu iliocheza na Simba haikua Bora,na huu usajiri wao Kama wakubahatisha tuu
Kichuya mbona hachezi NDANDA lakini alitemwa.. vipi Banda?Hilo litatokea Soon,Messi namba yake ipo Timu ya taifa atawaacha akina Ajib
Singano ana miaka 22, yeye Okwi, Yondani, Kaseja na Haruna wanakua kurudi nyuma.Hahahahahahahahah Singano ana miaka mingapi?? Kuna development ya mchezaji wa miaka 27 kwenye mpira.
Uwezo umeshuka.. je ukipandia simba?Deo Kanda Simba wamechemsha ameshuka kiwango hakuna mchezaji pale
Kilomoni na Akilimali mkuuSingano kasaini kandarasi ya miaka mitano mazembe kwahiyo hata asipofanya vizuri ana uhakika wa kula mshahara kwa miaka mitano, ni wachezaji wangapi simba na yanga wanamikataba ya miaka mitano?
Mazembe Bora kwa miaka kazaa tulikua tunaiona inavyocheza na inavyoshindana Ile mazembe ilikua ya kawaida ushabiki weka pembeniHaikuwà bora alafu imewàdunga mbumbumbu fc goli zakutosha
Kama ilikua ya kawaida ikaifunga Simba 4, sasa Simba itakua hali gani? Mazembe bado club kubwa Africa, ina uhakika wa kuchukua kombe lolote la Vilabu Africa, kufika robo /nusu fainali kwao sio inshu tena. Msimu huu imetolewa nusu fainali kwa tofauti ya goli moja na Esperence.Mazembe Bora kwa miaka kazaa tulikua tunaiona inavyocheza na inavyoshindana Ile mazembe ilikua ya kawaida ushabiki weka pembeni
Kwani baba ako alikuita huo ujinga unaojiita kwenye avatar yako?
Soon inaenda kua kama Lidico ya Lindi, Mecco ya Mbeya au Ushirika ya MoshiTp mazembe imekua km mtibwa
Hakuna kwakweliSingano kasaini kandarasi ya miaka mitano mazembe kwahiyo hata asipofanya vizuri ana uhakika wa kula mshahara kwa miaka mitano, ni wachezaji wangapi simba na yanga wanamikataba ya miaka mitano?
Kichuya hakunaga mchezaji pale hata huko misiri sjui walimpendea ufupiKichuya mbona hachezi NDANDA lakini alitemwa.. vipi Banda?
Halafu kumbuka Amunike hayupo
Ukawaida wake ulikuwa nn?Mazembe Bora kwa miaka kazaa tulikua tunaiona inavyocheza na inavyoshindana Ile mazembe ilikua ya kawaida ushabiki weka pembeni
matako hata yeye akijiita mwenyewe hakuitwa na mtu.We mavi nimejiita mwenyewe hili sijapandikizwa na ngedere yoyote kama mnachomfanyia huyo dogo.
matako hata yeye akijiita mwenyewe hakuitwa na mtu.
Kwa hiyo wewe na waliomsajili wewe ndio fundi?... Midomo ndio tunayoKichuya hakunaga mchezaji pale hata huko misiri sjui walimpendea ufupi