Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

Singano kasaini kandarasi ya miaka mitano mazembe kwahiyo hata asipofanya vizuri ana uhakika wa kula mshahara kwa miaka mitano, ni wachezaji wangapi simba na yanga wanamikataba ya miaka mitano?
Kilomoni na Akilimali mkuu
 
Mazembe Bora kwa miaka kazaa tulikua tunaiona inavyocheza na inavyoshindana Ile mazembe ilikua ya kawaida ushabiki weka pembeni
Kama ilikua ya kawaida ikaifunga Simba 4, sasa Simba itakua hali gani? Mazembe bado club kubwa Africa, ina uhakika wa kuchukua kombe lolote la Vilabu Africa, kufika robo /nusu fainali kwao sio inshu tena. Msimu huu imetolewa nusu fainali kwa tofauti ya goli moja na Esperence.

Hata club za Ulaya zinasajili wachezaji direct from Mazembe achana na habari za majaribio kama ya wachezaji wa Simba.
 
Acha Singano na Ambokile wakajaribu soak la kulipwa maana huwezi jua wanaweza Amukia ulaya. Tubaki na akina Ajib wetu wao kucheza yanga au simba ndo fahari yao.
 
Singano kasaini kandarasi ya miaka mitano mazembe kwahiyo hata asipofanya vizuri ana uhakika wa kula mshahara kwa miaka mitano, ni wachezaji wangapi simba na yanga wanamikataba ya miaka mitano?
Hakuna kwakweli
 
Back
Top Bottom