Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Madem nao bye-bye

Ni wakati mwingine wa kuelekea toba. Ya dunia yanatuchanganya lakini Allah atatusaidia tuyashinde.

Ninaona madem wa bar wakizidi kunawiri na bia zenyewe utamu ujizidi.

Ada sidaiwi usiniulize maswali
Allah ajaalie hata mwisho wa ramadhan uendelee kuishi maisha utayoishi ndani ya ramadhan
 
Mwezi mmoja wa kuishi kitakatifu, miezi 11 ya kuishi kishetani oke oke okeeeei
Si haba hakuna kupata kudogo....na Allah ndio mwenye Kujua zaidi

Screenshot_20230322_192000_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom