Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Alhamdulillah, jambo la kushukuruBongo mwaka huu wote tunafubga sawa hadi bakwata wametangaza leo ?
Bujibuji Simba Nyamaume anawatakia heri na mfungo mwema Waislamu wote JamiiForums, Tanzania na ulimwenguni kote, Ramadan KareemTukutane hapa kwa dondoo za mfungo
1. Je umeendama?
Allah ajaalie hata mwisho wa ramadhan uendelee kuishi maisha utayoishi ndani ya ramadhanMadem nao bye-bye
Ni wakati mwingine wa kuelekea toba. Ya dunia yanatuchanganya lakini Allah atatusaidia tuyashinde.
Ninaona madem wa bar wakizidi kunawiri na bia zenyewe utamu ujizidi.
Ada sidaiwi usiniulize maswali
😂😂😂Subiri wakuje usitokeHapa ndo hua nawashangaa hawa wenzetu, kama vile kitoto kimedokoa sukari kikakutwa kikafuta mdomo wakat kuna punje za sukari kweny mashavu
Inapendeza sana ..Ndio. Sifa zote njema zinamstahiki Allah
pamoja sanaNawatakiwa mfungo mwema ndugu zangu!!! Allah awatangulie...
Yeah.HAKUNA JIPYA WAHUNI TU
Hivi ni kesho au tarehe 24 keshokutwa?
Ramadhan Mubarak broKwenu Wanasiasa na msio Wanasiasa nawatakia mwezi mtukufu wa Ramadhan wenye Baraka tele
Ramadan kareem!
Si haba hakuna kupata kudogo....na Allah ndio mwenye Kujua zaidiMwezi mmoja wa kuishi kitakatifu, miezi 11 ya kuishi kishetani oke oke okeeeei
Nipo zanzibar...kisauniDada upo london nn ?
Tayari Alhamdulillahwakuu vipi mwezi umeonekana
Dah m nipo maungani sisterNipo zanzibar...kisauni