Ramadhan Special Thread

Kama matamshi nayo shida tafuta mjuzi akuelekeze vizuri .Hapo chini ilipoandikwa kiarabu kwa kiswahili mwishoni kwenye shahada inatakiwa kuwa "ash_hadu" na sio '-hadu" kama walivyoandika.


Vilevile unaweza kudownload app kama hiyo au video ili kama nyezo ya kurahisha kuImpove katika utamkaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…