Ramadhan Special Thread

Wakikuambia jengo la tanesco ubungo limebomolewa wewe unaamini ukifika pale utakuta nini?
Usilinganishe visivyolingana.

The name “Al Masjid Al Aqsa” refers to the entire sanctuary (144,000 sq metres) and all the buildings in it.

It includes the famous grey domed building (Masjid Qibli), and the gold domed building (the Dome of the Rock), as well as many other buildings within the sanctuary (including Masjid Marwani, Masjid Buraq etc).

The picture below shows the boundaries of Al Masjid Al Aqsa.

Aqsa-IlmFeed

Unfortunately in modern times, many people have mistakenly thought that Al Masjid Al Aqsa is only the silver dome which is located at the southern end of the sanctuary. However this is incorrect. The silver domed building has two specific names: Masjid Qibli (signifying the direction of Qibla), and Jamia Al Aqsa (signifying that it is the place that people gather for prayer). It is preferable to use these names when referring to the silver domed building to avoid any confusion.

To summarise the above, Al Masjid Al Aqsa is actually the entire area of the sanctuary, even though in modern times the name has unfortunately been mistakenly used to refer to just the silver domed building.

The entire sanctuary of Al Masjid Al Aqsa is also known by two other Arabic names: “Bayt Al Maqdis” (House of the Holy) and “Al Haram Al Sharif” (the Noble Sanctuary).

 
Mbona unapaniki mpaka unachanganya lugha? Kabla ya Mohammad unaamini kulikuwa na kitu kinaitwa masjid?
 
Walikuwa wanaswali nani?
Walikuwa wanaswali Waislam. Masajid zote zipo kwa ajili ya kuabudiwa Allah peke yake.

Ila umekubali kuwa ulikuwa hujui Masjid al Aqsa ni eneo lote lile? Na hivyo kuondoa mshangao wako kuwa Mtume aliswalije wakati hakukuwa na jengo?

So, usiharibu uzi kwa kuruka ruka. Hatutaki mijadala isiyo na tija humu.
 
Umeelewa nilichoeleza hapo? Hizo aya si zimeandikwa na Mohammad? Sasa je nikuulize swali wayahudi walikuwa wanasali wapi?
Mayahudi waliolaaniwa hawana haki napo pale muda wa kuwa hawajajisalimisha kwa Allah Peke yake na wakawa Waislam. Na ndio maana walitolewa pale kwa udhalili kwa sababu pale hapapaswi kuwa sinagogi au hekalu la kufanyia ushirikina.


Halafu Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) aweze kuandika Qur'an halafu wasiweze wengine? Unajua kuna wenzio walidai hilo wakati wake Mtume wakawa challenged nao watunge kama wanaweza? Na wakashindwa japo walikuwa ni wafasaha wa lugha ya Kiarabu. Na vipi Mtume Muhammad aandike Qur'an ilhali hakuwa akijua kusoma na kuandika na wala hakuwa na historia ya kusoma? Na kama yeye Mtume ndio katunga Qur'an kwanini Qur'an haifanani na maneno yake Mtume? Kungekuwa na ufanano. Na kama kasaidiwa na wengine mbona hawakuiweza challenge waliyopewa ya kutunga nyengine mfano wake, au hata sura kadhaa au hata sura moja tu?

Qur'an ni Maneno ya Allah.

Na pia Qur'an sio kiumbe bali ni Maneno yake Allah, hayakuumbwa.

Haya nenda katafute nyuzi za kubishana. Usiharibu uzi.
 
Huu msimu wa Kula vizuri watu wananenepa sana pindi kama hizi...

Unaweza Kula vyakula 15 vya tofauti tofauti kila siku
 
Mkuu samahani nahitaji ile dua ya kunuia baada ya kula daku


Niandikie mkuu nimejikuta nimeisahau na sina vitabu hapa
Kunuia Nini kufunga Ramadhani au ?

Uhakika ni kwamba hakuna Dua maalumu ya kunuia katika ibada bali nia ni ya moyoni pale moyo wa mtu unapokusudia kufanya ibada Fulani hapo inahesabika tayari kashanuia hata kama hajatamka .
 
Kunuia Nini kufunga Ramadhani au ?

Uhakika ni kwamba hakuna Dua maalumu ya kunuia katika ibada bali nia ni ya moyoni pale moyo wa mtu unapokusudia kufanya ibada Fulani hapo inahesabika tayari kashanuia hata kama hajatamka .


Nawaitu
Swaumu
Agadi

N.k

Ndo nahitaji mkuu niendikie
 
Mkuu samahani nahitaji ile dua ya kunuia baada ya kula daku


Niandikie mkuu nimejikuta nimeisahau na sina vitabu hapa
Asalaam alykum.
Hakuna kunuia kwa maneno.
Bali Nia mahali pake ni moyoni Ikhwa.
Labda kama unaulizia dua ya kula daku.
 
Mayahudi waliolaaniwa hawana haki napo pale muda wa kuwa hawajajisalimisha kwa Allah Peke yake na wakawa Waislam. Na ndio maana walitolewa pale kwa udhalili kwa sababu pale hapapaswi kuwa sinagogi au hekalu la kufanyia ushirikina.
Hii thead inahusu kutakiana mema kwa mfungo wa Ramadhan, kuanza hizo kejeli hapo kutasababisha majibishano yasiyo faa. Unatakiwa umweleweshe mtu kwa upole huku ukichukua tahadhari kuhusu funga yako. Tofautisha Ramadhan na siku zingine za kushindana, japo unamwambia asiharibu Uzi, mbona wewe ndie unaharibu kwa kejeli.?
 
Yes niandikie mkuu
Naam kama herufi wazitambu vzr hii hapa . Hii ni dua baada ya kumaliza kula daku.l, na naona haina tofauti na ile ya kawaida baada ya kumaliza kula.


الْحَمْـدُ للهِ الَّذي أَطْعَمَنـي هـذا وَرَزَقَنـيهِ مِنْ غَـيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلا قُوَّةٍ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…