Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

1710401915726.png
 
Huu si wakati wa kupoteza mda kwa kuangalia tv series au movies,,,au kucheza karata na zuna

Ni bora ukalala utahesabika uko kwenye ibada kuliko kutumia mchana wa ramadhani katika mambo yasiyofaa

Masiku yenyewe ni machache mno basi tujitahidi kusikiliza mawaidha, kusoma quran na kuhudhuria darsa mbali mbali misikitini ili tupate faida na machumo zaidi
 
Aminii
 
Back
Top Bottom