Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
AminiiHuu si wakati wa kupoteza mda kwa kuangalia tv series au movies,,,au kucheza karata na zuna
Ni bora ukalala utahesabika uko kwenye ibada kuliko kutumia mchana wa ramadhani katika mambo yasiyofaa
Masiku yenyewe ni machache mno basi tujitahidi kusikiliza mawaidha, kusoma quran na kuhudhuria darsa mbali mbali misikitini ili tupate faida na machumo zaidi