Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Ni waislamu kwa mujibu wao, ila si vema kuwaongelea hapa kwani tutaharibu maudhui ya huu uzi.Ivi kwani Mashia ni Waislamu?
Walaykum msalam warahmatullah wabarakatuh kweli tutaharibu maudhui ila nukuu kwamba wao "sio ktk sisi"Ni waislamu kwa mujibu wao, ila si vema kuwaongelea hapa kwani tutaharibu maudhui ya huu uzi.
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh.
Swadaktaaa, nawaelewa sana wale jamaa wala hawanipi tabu.Walaykum msalam warahmatullah wabarakatuh kweli tutaharibu maudhui ila nukuu kwamba wao "sio ktk sisi"
Hahahaha ,shukran k'ther,hamdillah nimepita pita kwa mashekh na bado napita pita kuokota mawili matatu al akhy,Barakallahu fyka Kumbe Nyoka Mzee ni Bonge la Sheikh Nmepitia post zako naona zmejaa Nusus tupu MashaAllah...!!!
Ivi kwani Mashia ni Waislamu?
JazzakAllahu kheir
Kila kafiri ni mshirikina ila sio kila mshirikina ni kafiri.Huwa tunasikia vyeo vya viongozi mbalimbali wa kiislam kwa level za kitaifa, kama kadh/shekh mkuu, ayatollah (supreme leader) nk. Hivi viongozi wakuu wa level ya dunia wapo? Kiongozi wa mashia duniani cheo chake kina jina gani? Au kiongozi mkuu wa dhehebu la sunni duniani yuko na jina la wadhifa wake ni lipi?
Je kuna tofauti kati ya kafir na mshirikina? Unapo futurisha watu gani wanaqualify kufuturisha?
Na washawasha!
Hamna aliesema usisimamishe haq..Kwenye haq lazma kunainishe bila kuangalia mahali wala mtu "shia wamekufuru kuliko mahayahud & naswara" shia ni makufar. Niahii ni kwa mujjibu wa vitabu vyao na maimam wao waneja taqya sanaa haya watu wana talbisat nyingi Kwa faida zaid njoo PM akh..
Hivi yuko wapi huyo ff haonekaniSafi sana, sio akina ff kutwa kukashfu wengine
Amiiin.Waislam tuwe na msimamo popote pale tulipo, tudhihirishe uislam wetu, tuonyeshe msimamo wetu. Tuswali swali tano jamani, kwani swala ndo ufunguo wa kila jambo, kwa tuliojaaliwa kupata elimu zote mbili tumshukuru sana allah , allah atujali funga njema na tufikie lengo la funga, na tukumbuke kufanya toba.
Allahumma aamina inshallahWaislam tuwe na msimamo popote pale tulipo, tudhihirishe uislam wetu, tuonyeshe msimamo wetu. Tuswali swali tano jamani, kwani swala ndo ufunguo wa kila jambo, kwa tuliojaaliwa kupata elimu zote mbili tumshukuru sana allah , allah atujali funga njema na tufikie lengo la funga, na tukumbuke kufanya toba.
Kumbe nyie huwa mnafanya hata mchana!!!Mambo yanayo batikisha swaumu :
# kula na kunywa kwa makusudi
# kujimai(kumuingilia mkeo )mchana wa ramazani
# ukiwa katika siku zako(hii kwa wanawake)
# kujitoa manii kwa Mkusudi
Kuhusu kumuazibu mwanafunzi ambae ni mtuvu wa nizamu hili halikubatilishi swaumu yako
Kila kafiri ni mshirikina ila sio kila mshirikina ni kafiri.
Kafiri ni yule anaeamini kuna Mungu isipokua Allah.,na mshirikina ni mtu yoyete anaeingilia ufalme wa Allah mathalan kwa kuabudu kama makafiri,au kuwanga kwa wachawi..ila shirki zipo nyingi sana,unaeza ukawa unamshirikisha Mungu pasina kujua.
Kiongozi level ya dunia kwa waislam ni mtume wetu Muhammad s.a.w
Kwa kweli sijui ni kiongozi yupi anaeongoza dunia kwa sasa.ila rank ya uongozi ipo inaanza na mtume,maswahaba zake,maimamu wanne...baada ya hapo sifahamBado umeniacha maana nijuavyo mimi Mtume SAW ni level ya juu sana kwa maana kuwa yeye yuko katika mambo ya level ya mbinguni. Kuwa watu wanafuata mafundisho yake ili kumfikia Allah. Sasa nauliza kiongozi wa sasa hapa duniani katika kuratibu mambo ya kiislamu hasa ya hapa duniani ni nani? Au hierarchy ina ishia kitaifa tu? Au ni weke hivi hamna kadhi/shekh mkuu wa dunia?
Kuna hili la kufuturisha/futarisha wapi wanaswihi?
Na washawasha!
kufurisha unafuturisha mtu yeyote muislamu aliefunga unaweza kwa siku zote 30 ukawaalika ikiwa una uwezo ila kama ulivyjibiwa hapo ni vizuri zaid kama utawatafuta maskiniBado umeniacha maana nijuavyo mimi Mtume SAW ni level ya juu sana kwa maana kuwa yeye yuko katika mambo ya level ya mbinguni. Kuwa watu wanafuata mafundisho yake ili kumfikia Allah. Sasa nauliza kiongozi wa sasa hapa duniani katika kuratibu mambo ya kiislamu hasa ya hapa duniani ni nani? Au hierarchy ina ishia kitaifa tu? Au ni weke hivi hamna kadhi/shekh mkuu wa dunia?
Kuna hili la kufuturisha/futarisha watu gani wanaswihi ukiwafuturisha?
Na washawasha!