okTuweni makini jamani, kuna watu wapo hapa kwa ajili ya kututoa katika mstari, don't argue about anything stupid wanacholeta.
Let's focus on Ramadhan na fadhila zake only, nn tufanye ili kufikia lengo la swaumu.
Mfungo ukifika hyo avatar Uibadilishe ndugu, tusije tukaanza kutamani bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfungo ukifika hyo avatar Uibadilishe ndugu, tusije tukaanza kutamani bure
In sha Allah.inshaalah mwenyezmungu atuwezeshe kufika katika mwezi mtukufu wa ramadhan ma atiwezeshe tuufunge woote bila matatizo
k POa bro nah prblm soon kuanzia nw ina change maandalizi yanaanza sasa hviMfungo ukifika hyo avatar Uibadilishe ndugu, tusije tukaanza kutamani bure
Allahuma aamina inshallah, Allah atuwezeshe kwenda hija kwa kila mwenye uwezo.Huwezi amini kwa hizi avatar zetu jamani, mtu kama;
1. Hence mtanashati
2.byong
3.thatsist
Ni miongoni mwa waislam wazuri kabisa ivi kwenye dini yao, Allah atujalie mwisho mwema, wenye nia ya hijah Allah atujalie sote kwenda kuiona alkaba.
Hongera kwa
1.Emmyta
2. Uhuhty ( kama sijakosea), najua wanaijua dini yao.
Tumkaribishe Dada yetu mpendwa bi. Faizafoxy
Shukran Allah atujaaliye kila yenye kher inshaAllahHuwezi amini kwa hizi avatar zetu jamani, mtu kama;
1. Hence mtanashati
2.byong
3.thatsist
Ni miongoni mwa waislam wazuri kabisa ivi kwenye dini yao, Allah atujalie mwisho mwema, wenye nia ya hijah Allah atujalie sote kwenda kuiona alkaba.
Hongera kwa
1.Emmyta
2. Uhuhty ( kama sijakosea), najua wanaijua dini yao.
Tumkaribishe Dada yetu mpendwa bi. Faizafoxy
Amin InshaAllahAllahuma aamina inshallah, Allah atuwezeshe kwenda hija kwa kila mwenye uwezo.
Amin InshaAllah
Shukran jazir[emoji120] [emoji120]Hakika waislam panapomajaaliwa mwezi mtukufu upo karibu
hvyo tusikubali fadhira za ramadhan zikupite ewe kijana/mzee wa kiislam
hakuna sifa yeyote anaepewa mtu kwa kuacha kufunga,hii ni kuonesha ujeuri ambao una hasara ndani yake
hebu tazama mtu akiswal sunnah ndani ya ramadhan malipo yake ni sawa na kuswali faradhi nje ya ramadhan,zipo fadhira nyingi ndani ya mwezi huu
Wabilah taufiq,asalaam aleykum
[emoji120] [emoji120] [emoji120]