Ramadhan Special Thread

Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh,

Ndugu zangu katika imani, nasikitika kuwaaga sitaweza kuendelea kua nanyi katika uzi huu,
hua ni kawaida yangu kila ifikapo ramadhani, najitoa kwenye mitandao ya kijamii yote,

In shaa Allah tutajumuika tena baada ya ramadhani tukijaaliwa.

Nawatakieni mfungo mwema na Allah apokee saumu zetu na sala zetu na maombi yetu na toba zetu,

Amiin.
 
usiondoke tafadhali
uwe ukiingia unaishia katika huu uzi nadhan hakuna litaloharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…