Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

ikiwa kama ndiyo kwanza unaingia katika huu uzi usisite kufungua na kuperuzi kuanzia page ya 1 kuna mambo mengi yenye faida yamo humu kuhusu mfungo wa ramadhani, ikiwa wayafahamu si vibaya ukajikumbusha, na mengine ya kheri yataletwa insha Allah kwani Mtume (s.a.w) anasema ''elimu ni mali ya muumini popote utakapoiona ufanye pupa kuichukua''

shukrani nyingi sana ziende kwa Hance Mtanashati kwa kulileta jambo hili la kheri Nyoka_mzee ukhuty everhurt SDG Abdul edwayne Dizkiz sungita cleverer Mndengestani mjingamimi emmyta Super women 2 alibakari Hashim bin Faustin dullynho arch67 dimaa Kanye2016 CleverKING Dr Simba uroto Arabian queen babu na mjukuu lucley Ibney momentoftruth Mwanakanenge mansakankanmusa leprincess shiite kikuna Kilemakyaaro THOMAS SANKARA forumyangu Joninho shaban mwiga byongo thatsit @wrong turn [USER=63847]mkomatembo jr boy lamalu Patience123 Kulupura mimisiowewe Khalidoun miseryman Rabii90 Angel Nylon Kadhi Mkuu 1 nasmapesa Omar Lugendo Mzigua wa kuchovya Bacyclerbacy Madam Mwajuma ISIS Mbulu nanawoo As Salafiyyu91 Alkanjir kichunjuu kichunjuu
Adharusi ngakotecture Mwifwa darcity [USER=62657]msabillah noiselessly hunter Chiwaso Mahmood [USER=187015]hyusuph khaliciouz MANI structuralist Pohamba shashashaa muhhidinramadhan Abdulwahid Polite kivyako IBRAHIM KAUKI Baraghash Ghazwat Khamisiya hosh kosh Tetty 2kimo Mwanamageuko [USER=313720]kezacute Big Dy ZAGANZA Abuu Saad Eliamini Saguda47 Nzory Mussa Penelope Latifah Ayoub MziziMkavu the horticulturist Maalim Shewedy kwinyo samira cute samira said
na wengineo wote tuendelee kuwa pamoja hapa kwani dini ni nasaha
'' ...na saidianeni katika wema na uchamungu wala msisaidiane katika dhambi na uadui...(Q.5:2)
ALLAH KWA BARAKA YA RAMADHANI HII PENYE UZITO ATUJALIE TAHFIF, ATULIPE YALIYO YA KHERI DUNIANI NA AKHERA (AMEEN)[/USER][/USER][/USER][/USER]
Ameen yaarab.
Shukraan mkuu. Alhamdulillah Rabil'alamin
 
Kesho ni Swaumu mosi.

Allah tufanyie wepesi tuweze kuitekeleza hii Ibada kikamilifu.
Ameen. Ameen. Ameen.
IMG-20170526-WA0164.jpg
 
Nahisi mwaka huu tumeanza sawa kufunga. Inshallah na iwe hivyo katika kufungua na tofauti hizi ziwe zenye kutujenga na sio kutufakaranisha kwani Mwenyezi Mjuzi wa yaliyojificha anajua hili.


Ramdhan Karim kwa waislam wenzangu na wasio waislam.
 
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh,

Ndugu zangu katika imani, nasikitika kuwaaga sitaweza kuendelea kua nanyi katika uzi huu,
hua ni kawaida yangu kila ifikapo ramadhani, najitoa kwenye mitandao ya kijamii yote,

In shaa Allah tutajumuika tena baada ya ramadhani tukijaaliwa.

Nawatakieni mfungo mwema na Allah apokee saumu zetu na sala zetu na maombi yetu na toba zetu,

Amiin.
Ameen yaarab. Ni vizuri.
Allahu Barik. Jazakallahu lkhayr
 
Hivi mnafunga kweli au mnabadili ratiba ya msosi? Maana naonaga usiku mnakula saa 1 na saa 6-8

Mchana ndio hamli, SIO MNABADILI MUDA WA KULA TU??
Ninyi ndio huwa mnafunga mkuu, na sijui huo usiku huwa unaonaje kwenye nyumba za watu kama sio mchawi au kibaka
 
Jamani tuombeane dua tubadilike maana sisi wengine tuko vizuri sana kwenye dini bahati mbaya mambo mengine ni mitihani ya Kidunia tu.
Nakuombea kaka alibakari m'mungu akuongoze katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani na pia insha allah uwe ni mwenye kubadilika kwa yote ambayo kwako unaona si yenye kumpendeza m'mungu.
 
Back
Top Bottom