Jazzakalah kheirwalykum salam dada...Jibu ni ndio...swaumu yako iko sahihi ata kama ujala daku.
but daku ni sunnah tu na hasa ukichelewsha kula but isiingia alfajir...allah hututakia wepesi ili tusiwe wadhoofu sana kwenye funga ndio maana kutuhusu daku dada.....na si lazima ule wali au kitu chakushibisha...unaweza kunywa ata maji,tende,chungwa, au chochote,kama huwezi kula usiku, ili kupa fadhila za sunnah ya daku
allah ni mjuzi zaid hakika...
InshaaallahNawatakiwa mfungo mwema ndugu zangu!!! Allah awatangulie...
AmeenHivi ndivyo binadamu tunatakiwa kua,kukumbushana mambo ya kheri,unaweza kufanya jambo dogo tu kama la mleta uzi Kumbe kwa MOLA ni jambo kubwa,tumuombe ALLAH atujaalie tuwe ni wenye kukumbushana mara kwa mara mpaka mauti zitapotufika.
Dah! Sasa na hicho kimini chako unataka kuharibu swaumu za watu bure, uvae hijabu ukija huku.Ramadhan Kareem
InshaAllahNawatakiwa mfungo mwema ndugu zangu!!! Allah awatangulie...
Stara ya mwanamke isiwe kwa ajili ya Ramadan tu wanawake tunatakiwa tujistir muda wote jaman ima Kwa wale tuliohalalishiwa nao tu asalam alykumView attachment 512973 Asalam aleykum,na yasiyofaa katika uislam tuyakemee
MashaallahStara ya mwanamke ni kwa ajili ya Ramadan tu wanawake tunatakiwa tujistir muda wote jaman ima Kwa wale tyliohakalishiwa nao tu asalam alykum
ﺁﻣﻴﻦHivi ndivyo binadamu tunatakiwa kua,kukumbushana mambo ya kheri,unaweza kufanya jambo dogo tu kama la mleta uzi Kumbe kwa MOLA ni jambo kubwa,tumuombe ALLAH atujaalie tuwe ni wenye kukumbushana mara kwa mara mpaka mauti zitapotufika.
InshaalahNawatakia wote wataojaliwa kufunga mfungo mwema uliojaa ibada tosha.
Sijaelewa ,unamaanisha nini?S.A.W haupo kwenye uislamu
MmhuuuPedezhee kumbe nawe yakhe!
Hadi mwezi mtukufu ndipo tutambue dini yako!