Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

ca8f84852139b42211f953a99d959da2.jpg
e211a68332037293e4d7fc516af650ac.jpg
 
walykum salam dada...Jibu ni ndio...swaumu yako iko sahihi ata kama ujala daku.
but daku ni sunnah tu na hasa ukichelewsha kula but isiingia alfajir...allah hututakia wepesi ili tusiwe wadhoofu sana kwenye funga ndio maana kutuhusu daku dada.....na si lazima ule wali au kitu chakushibisha...unaweza kunywa ata maji,tende,chungwa, au chochote,kama huwezi kula usiku, ili kupa fadhila za sunnah ya daku

allah ni mjuzi zaid hakika...
Jazzakalah kheir
 
Back
Top Bottom