Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Humu sababu kuna waislamu wengi ndio wanahusika,kuna makosa nayaona kwa baadhi ya watu,makosa katika matumizi ya emoj na baadhi ya matamko.

Matamshi na emoj,nasema yapo kimakosa au watu tunakosea sababu hayana asili.

Mathalani matumizi ya tamko "Ramadhani Kareem" hili tamko halikuthibiti yaani halina asili na limezuliwa,kwahiyo awla kutumia tamko au matamko yenye asili ili kuhuisha mafundisho ya mbora wetu mtukufu wa darja,mtume Muhammad amani ya Allah iwe jui yake. Ina faa kusema "Ramadhan al Mubaraakk"

Hii emoj ya "mikono" si katika asili ya uislamu,kuna mwanamama nineona ametumia huko juu,huyu Shadeeya .

Naendelea kupata faida...
 
Nita miss kitimoto wakatihuu wa mfungo yaani sijui nisifunge
Kwa MUISLAMU kama hana udhuru wa kisheria suala la kufunga huwa halina chaguo.
Kwa hiyo ile kujiuliza tu ufunge ama usifunge inaonesha dhahiri we si MUISLAMU na upo hapa kwa ajili ya kejeli na mizaha ya kitoto.
Ni vizuri kuweka heshima juu ya imani za watu wengine,kama unahisi ni muhimu kwako kula kitimoto we endelea tu kula maana hakuna wa kukuzuia na zaidi hayo ni maisha yako na wewe ndio utakayewajibika kwa matendo yako.
Kila la kheri kwako mkuu.
 
Mkuu mimi ni muislamu sema kuna rafikiyangu alinionjesha kitimoto yani natamani kuachakula lakini siwezi kabisa huyu mdudu nimtam sana aise

Basi wewe endelea kula mkuu wala usijipe shida.
Tena kama "utafunga" basi muda wa futari au daku unapata na kitimoto chako saaafii.
Kama nilivyoandika awali...'mwisho wa yote wewe ndio utawajibika kwa matendo yako'.
 
Back
Top Bottom