Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Lipi hilo maalim?Naam sheikh, nisikuone kule kwenye jukwa a letu pendwa.
Sio maana yake.Hii ndio maana ya Ramadhan au sijaelewa hapa ?
Sio maana yake.
Ila wameyatengeneza hayo maneno kuendana na mwezi mwenyewe. Kwani inapendeza ndani ya huo mwezi tukimkumbuka Allah kwa muda wote
😂😂😂😂Lipi hilo maalim?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejifunza Mkuu. 🙏🙏🙏🙏"If God Wills" ni maneno matatu hivyo kwa kiarabu inatakiwa iwe inaandikwa hivi "In Shaa Allah"
Hahaaaa. Atakuja.Maalim wangu sijui katokomea wapi!
Namsubiria hapaHahaaaa. Atakuja.
Karibu sanaNimejifunza Mkuu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa MUISLAMU kama hana udhuru wa kisheria suala la kufunga huwa halina chaguo.Nita miss kitimoto wakatihuu wa mfungo yaani sijui nisifunge
Kwa MUISLAMU kama hana udhuru wa kisheria suala la kufunga huwa halina chaguo.
Kwa hiyo ile kujiuliza tu ufunge ama usifunge inaonesha dhahiri we si MUISLAMU na upo hapa kwa ajili ya kejeli na mizaha ya kitoto.
Ni vizuri kuweka heshima juu ya imani za watu wengine,kama unahisi ni muhimu kwako kula kitimoto we endelea tu kula maana hakuna wa kukuzuia na zaidi hayo ni maisha yako na wewe ndio utakayewajibika kwa matendo yako.
Kila la kheri kwako mkuu.
Basi wewe endelea kula mkuu wala usijipe shida.Mkuu mimi ni muislamu sema kuna rafikiyangu alinionjesha kitimoto yani natamani kuachakula lakini siwezi kabisa huyu mdudu nimtam sana aise