Ramadhan Special Thread



Kuja hapa kutaka kujuwa nini cha kufanya ili utende madhambi kunaharibu thaumu yako. Hivyo badili dini uwe mkristo uishi maisha mazuri zaidi.
 
Kukosoa kuwe kwa hoja zenye maana na kueeweka,na sio kukosoa kwa chuki tu kwa kuwa ni saudia.

Wale ni binadamu kama sisi ila wanapokuwa sawa wapewe haki yao wanapokosea hali kadhaalika.

Katika hili la mwezi saudia hawalazimishi nchi zingine wawafuate wao na wao hawwfuati Nchi zingine kabisa.na hayo ni kwa kujitoa lawamani kuwa watu wanafuata saudia wanapotoshwa,saudia hawwtaki wafuatwe na mtu.

Hya ni mambo mukhtalafun ndani yake.
 
Kwahiyo wakosoaji tuna chuki na Saudia?
Mbali na swala la mwezi wa muandamo kwa ajili ya Ramadhan ambalo kwao kama ulivyosema hawataki kufuatwa, na vipi kuhusu ibada nyingine ambazo msingi unakuja hapo hapo kwenye mwezi na utekelezwaji wake unafanyikia Saudia vipi napo wasifuatwe?Hatuna chuki na Saudia kwa vile hata kama iweje nguzo ya tano ya Uislam utekelezwaji wake ni huko huko Saudia hakuna kwingine.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 

Kusema kwao wasifuatwe haina maana kuwa sisi tuwafuate katika kauli yao hiyo.

Sisi hatufati kila saudia wanachosema sisi tunafuata tunapoona dalili zimeegemea.

Saudia wakisema hawataki kufuatwa hatuwezi kufata kauli yao tutafuata dalili

Mwezi ukionekana popote na vyombo vya kiislamu vikatangaza basi wenyr msimamo wa popote tunafunga hata kama huko ulikoonekana wana msimamo wa mwezi wa kwao tu.

Bado hiyo haijawa hoja kwa sababu hoja si kuwa saudia wamesema,hoja ni hilo jambo kuthibiti,kama wamethibitisha wameuona mwezi tutatosheka na hapo.
 
Asalam alaykum,, ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vyema na swaumu ramadhani!
Nawaomba tujuzane nyakati za daku na futari kwa eneo lako ulipo kwa sasa.
Niko musoma tunakula daku mwisho saa 11:15 na futari saa 12:55

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…