Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

SWALI

Je ni kweli inathibiti kuwa: Mwenye kumjulisha muisilaamu kuwa Ramadhani itaanza lini basi atasamehewa madhambi yake, na kuingia peponi bila ya hesabu?

السؤال: هل حقا ثبت أنه: من دل مسلما على يوم يبدأ فيه شهر رمضان بأنه يغفر له ذنوبه، ويدخل الجنة بغير حساب؟
[emoji433][emoji433][emoji433][emoji433][emoji433][emoji433][emoji433][emoji433][emoji433][emoji433][emoji433]

[emoji427]JAWABU الجواب [emoji427]

[emoji654]Muisilaamu anatakiwa kuwa mkweli katika kauli zake na vitendo vyake vyote

المسلم يؤمر أن يكون صادقا في أقواله وأفعاله كلها.

[emoji654]Mwezi wa Ramadhani unakuwa kwa mujibu wa kuandama kwa mwezi na kuonekana kwake.

شهر رمضان يكون على حسب ميلاد الهلال ورؤيته.

[emoji654]Na wala hakuna katika Sunna fadhila za kumuambia mtu tarehe ambayo itakuwa ndio mwanzo wa mwezi wa Ramadhani.

فليس في السنة أي فضل ورد في فضل إخبار شخص عن التاريخ الذي يكون فيه بداية شهر رمضان.

[emoji654]Na maelezo hayo yanaonyesha wazi uongo walio zusha hao waongo wenye kumzushia Mtume s.a.w mambo ambayo hakuyasema.

وهذا الكلام يدل على كذب أحدثه أؤلئك الكذابون، الذين افتروا على رسول الله صلى الله عليه وسلم ما لم يقله.

[emoji654]Na miongoni mwa alama za uongo katika maneno hayo ni:

ومن إشارات الكذب في ذلك الكلام:

1- Kutaja malipo makubwa kwa amali ndogo sana.

ذكر ثواب عظيم بعمل صغير جدا.

2- Pia kwenda kinyume na Dalili sahihi za kisheria, kwa sababu madhambi husamehewa kwa kutubia kwa Allaah sw, si kwa amali kama hiyo.

كذلك مناقضته لﻷدلة الشرعية الصحيحة، ﻷن الذنوب تغفر بالتوبة إلى الله تعالى، وليس بمثل هذا العمل.

3- Kisha mwanzo wa mwezi wa kiisilaamu ni kwa mujibu wa kuonekana kwa mwezi, amma kukadiria tu kwa njia za vipimo huwa inatokea baadhi ya wakati kuwa vipimo si sahihi, na ikawa habari ni ya uongo.

ثم إن الشهر بالهجري يكون على حسب رؤية الهلال، أما تقديره بمقاييس بشرية فإنه يحدث الغلط أحيانا فتغلط المقاييس في التقدير، فيصير الخبر بهذا مكذوبا.

4- Na kuingia peponi bila ya hesabu ni kinyume kabisa na maneno ya Allaah sw kuhusu hesabu ya mja siku ya Qiyaama.

وكذلك دخول الجنة بغير حساب فإنه يخالف كلام الله تعالى عن حساب العبد يوم القيامة.

[emoji654]Amesema Allaah sw kuhusu watu wa peponi watakao pewa vitabu vyao kwa mikono yao ya kulia:

فقد قال الله تعالى عن أصحاب الجنة الذين يعطون كتبهم بأيمانهم:

(فَأَمَّا مَنْ أُوتِيَ كِتَابَهُ بِيَمِينِهِ)
[Surat Al-Inshiqaq 7]

Ama atakaye pewa daftari lake kwa mkono wa kulia,

(فَسَوْفَ يُحَاسَبُ حِسَابًا يَسِيرًا)
[Surat Al-Inshiqaq 8]

Basi huyo atahisabiwa hisabu nyepesi,

[emoji654]Na wala hakusema kuwa "Hatohesabiwa" au " ataingia peponi bila ya hesabu"

ولم يقل إنه " لا يحاسب" أو " يدخل الجنة بغير حساب"

5- Kisha maneno kama hayo yanaonyesha kuwa hata mtu muovu ambae hana matendo mema, anaweza kuingia peponi nae kwa sababu tu ya kumuambia mtu kuwa mwezi utaanza lini.

ثم إن هذا الكلام أيضا يدل على أن صاحب المعاصي الذي ليس له أعمال صالحة يمكن أن يدخل الجنة بسبب إخبار شخص عن اليوم الذي يبدأ فيه الشهر.

[emoji654]Na hili linakwenda kinyume na Qurani na Sunna na mantiki sahihi iliyo salimika.

وهذا معارض للكتاب والسنة والمنطق الصحيح السليم.

[emoji654]Subhaana llaah!
Huu ni uzushi wa wazi wazi.

سبحان الله!
هذا بهتان مبين.

[emoji654]Na mwenye kutuma jumbe kama hizi zenye uongo basi nae huwa ana fungu lake la dhambi, ila ikiwa hakujua kuwa ujumbe huo ni uongo.

ومن يرسل مثل ه�
 
Nasiha Za Mwezi Mtukufu Wa Ramadan

Anza kwa kuzingatia mwezi huu mtukufu uwe wa kujihesabu, kutenda amali nyingi na kujirekebisha hali yako na uhusiano wako na Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) uwe bora zaidi:

Kumbuka kwamba huu mwezi ni mgeni ambaye amekutembelea kisha ataondoka, hivyo mpokee mgeni wako na mkirimu kwa mazuri yote anayostahiki.

Tahadhari na kutokufunga bila ya sababu au udhuru wowote, kwani kufanya hivyo, Swawm yako haitolipika hata ukifunga mwaka mzima.

Sali kwa wakati wake, usiache Sala ikakupita. Na jua kuwa ukiwa huswali Ramadhaan huna Swawm kwa mujibu wa fatw za Maulamaa wengi.

Soma sana Qur-aan kadiri uwezavyo kwani ni mwezi ulioteremshwa Qur-aan. Kamilisha msahafu mzima japo mara moja, ukishindwa basi hata nusu yake, robo yake.

Zidisha ibada za Sunnah, kama Sunnah zilizo Muakkadah (zilizosisitizwa).

Chukua fursa kuomba du'aa sana kila mara nyakati za kukubaliwa du'aa, khaswa ukiwa bado katika Swawm. Tumia wakati wa baina ya adhana na iqaamah kuomba du'aa na haja zako kwani ni wakati wa kukubaliwa du'aa. Vile vile nyakati za thuluthi ya mwisho ya usiku.

Iborishe Swalah yako kwa kuiswali ipasavyo na kuzidisha khushuu (unyenyekevu).

Usiache kuswali Taarawiyh pamoja na jama‘ah, usiondoke hadi Imaam amalize upate thawabu za Qiyaamul-Layl.

Tahadhari na kufanya israaf ya mali, chakula na neema nyinginezo, kwani israaf ni mbaya na itakuondoshea neema ulizojaaliwa.

Tumia wakati wako vizuri na zingatia kwamba umri wako unazidi kupunguka.

Mwezi huu ni wa ibada na sio kula, kulala na kufanya ya upuuzi.

Zoesha ulimi wako uwe umerutubika kwa kumtaja Mola wako, usiwe miongoni mwa wasiomkumbuka Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) ila kidogo tu.

Chukua fursa kufanya da‘awah. Amrisha mema na kataza maovu, kwani yule unayemuongoza atakapotekeleza mema, utazibeba nawe thawabu zake pia. Tuma ujumbe wa dini kwa wenzako. Chapisha idadi nyingi ya makala zenye mafunzo ya dini, chapisha du'aa ugawe misikitini, vyuoni, majumbani.

Fanya kila aina ya wema uwezavyo, patanisha waliokhasimiana, msaidie mwenye haja na muokoe mwenye shida.

Wakumbuke wazazi, ndugu, jamaa na marafiki katika du'aa zako kwani kuwaombea wao bila ya wao kujua Malaika hukuombea na wewe vile vile.

Wasiliana na ndugu, jamaa kwani ni jambo lililosisitizwa sana na lenye kukuongeza umri, kheri na baraka nyingi. Walio mbali na wewe wasiliana nao kwa simu.

Unapohisi njaa, wafikirie masikini wasio na uwezo wa kula, na utambue kuwa uko katika neema ya Mola wako.

Muombe msamaha uliyemdhulumu kabla hajalipwa mema yako.

Mfuturishe aliyefunga upate thawabu zake juu ya thawabu zako.

Omba maghfirah na msamaha kwa Mola wako, kwani tambua kwamba Yeye ni Mwingi wa Msamaha na Mwingi wa Rahma.

Ikiwa umetenda maasi kisha Akakusitiri Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala), tambua kuwa hiyo ni onyo utubie na weka azma kutokurudia tena.

Elimu ya dini yako kwa kujifunza tafsiyr ya Qur-aan, Hadiyth, Fiqhi n.k. upate kuongeza taqwa.

Jiepushe na marafiki waovu na vikao vyao na ungamana na marafiki wema na vikao vya kheri.

Usipoteze muda wako kutazama televisheni vipindi visivyokupa faida na dini yako, bali tumia wakati wako kwa yatakayokuongezea elimu na ucha Mungu.

Usiharibu Swawm yako kwa kunena ya upuuzi, au Ghiybah (kusengenya), au kubishana au kupandisha sauti. Jizuie unapokuwa na hamaki.

Fika msikitini mapema zaidi, kwani hivyo ni dalili ya hamu na mapenzi ya ibada na kuwa karibu na Mola wako.

Waamrishe na kuwafunza mema ya dini yao walio katika majukumu yako; mke, mume, watoto, ndugu, jamaa n.k. kwani wako karibu yako zaidi na kukutii.

Usijaze tumbo sana katika suhuur (daku) kwani itakufanya uwe mvivu na ushindwe kukaa macho nyakati za asubuhi na mchana na ushindwe kufanya ibada vizuri na kusoma sana Qur-aan.

Usijaze tumbo sana katika iftwaar (kufuturu) kwani itakushinda kusimama Qiyaamul-Layl au kuzingatia Aayah za Qur-aan zinaposomwa na Imaam.

Punguza kwenda madukani/sokoni khaswa kumi la mwisho kwani utakosa kheri na thawabu nyingi zilizomo katika masiku hayo ya thamani kubwa.

Tilia hima kubwa kuswali Qiyaamul-Layl kumi la mwisho upate Laylatul-Qadr, usiku ambao ibada yake ni bora kuliko miezi elfu.

Jitahidi ufanye I'tikaaf msikitini katika kumi la mwisho japo siku chache, upate fadhila zake na uchume mema mengi pamoja na kupata Laylatul-Qadr.

Tambua kwamba siku ya 'Iyd ni siku ya kumshukuru Mola wako na sio siku ya kutenda yale uliyojizuia ya maovu katika Ramadhaan.

Siku ya 'Iyd , wafanyie wema wazazi, watembelee ndugu, jamaa na marafiki kuboresha uhusiano wako nao.

Usiache kutoa Zakatul-Fitwr - wakumbuke maskini, yatima na wanaohitaji na wasaidie na kuwagawia chochote wabakie katika furaha.

Tamka Takbiyrah siku ya 'Iyd kwa sauti unapokwenda msikitini ili kuwakumbusha wengine wanaokwenda au kufuatana nawe ili nawe waweze kupiga Takbiyrah hizo.

Weka azma baada ya Ramadhaan kujiendeleza katika hali ya ibada uliyokuwa nayo katika Ramadhaan, ukifanya hivyo itakuwa ni dalili ya kukubaliwa Swawm yako.

Funga Sita Shawwaal upate thawabu za Swawm ya mwaka mzima.
 
Aminaaaa
 
InshaAllah kheri...shukrani
 
IMG-20180515-WA0025.jpg
 
Ya Allah our Sins are so many,
But your mercy is Limitless.
Please Forgive us.
You are the greatest Forgiver,
You Love to Forgive,
Please forgive Me,
My Parents,
My family and whole Muslim Ummah Past and Present.
Aamin-SumAmeeen
Ramadan Mubarak!!!
 
Back
Top Bottom