Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningejiuliza, kule marekani hawalipi kodi kama kulipa kodi ni lazima? kwamba wapate pesa marekani waje walipe kodi Tanzania? pia, kama ikijulikana wamelipa kodi Marekani, wanatakiwa kulipishwa tena mara ya pili hapa Tanzania? kwahiyo watu wakienda kutafuta maisha nje ya nchi walipe kodi kule na wakirudi hapa napo walipishwe mara ya pili? HILI NDILO LINATAKIWA KUWA SWALI, kwanza tu ili watanzania waelewe.Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki.
600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo wakigawana kila mmoja anaondoka na 210.. Yaani kila mmoja anakuwa amemzidi bwana TRA milioni 30 pekee. Wangekuwa watatu TRA angewapiga bao kwenye maokoto. Nafuu itatokea endapo watalipa kodi hela zilikotoka.
Aliyeunda mifumo ya kodi na tawala duniani alichemka kwenye kiwango wanachotakiwa kuchukua mifukoni mwetu. Vilio ni hivi hivi kwenye kodi ya biashara na slip za mishahara, gross inanona ila hapo kati wanakuja TRA na taasisi nyingine za Serikali wanaikausha kila mwezi, bado ukistaafu wanaleta mastori ya vikokotoo.
Ukimaliza yote hayo, njoo kwenye matumizi ya hizo kodi kwenye nchi zetu za dunia ya tatu😎
Hakuna namna, ya KAISARI MPE? TRA TanzaniaWale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki.
600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo wakigawana kila mmoja anaondoka na 210.. Yaani kila mmoja anakuwa amemzidi bwana TRA milioni 30 pekee. Wangekuwa watatu TRA angewapiga bao kwenye maokoto. Nafuu itatokea endapo watalipa kodi hela zilikotoka.
Aliyeunda mifumo ya kodi na tawala duniani alichemka kwenye kiwango wanachotakiwa kuchukua mifukoni mwetu. Vilio ni hivi hivi kwenye kodi ya biashara na slip za mishahara, gross inanona ila hapo kati wanakuja TRA na taasisi nyingine za Serikali wanaikausha kila mwezi, bado ukistaafu wanaleta mastori ya vikokotoo.
Ukimaliza yote hayo, njoo kwenye matumizi ya hizo kodi kwenye nchi zetu za dunia ya tatu😎
serikali iliwabia iwapo wana shida youote waende kuongea nao,alisema msigwa katibu mkuu wa wizara ya michezo alipokuwa anawapokea eapoti,nawashauri waende kuongea nae hili sualaWale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki.