Ramadhani Brothers kukutana na rungu kodi zaidi ya 180M kwenye 600M waliyoshinda

Hata huko marekani lazima wanakatwa kodi, hawapewi yote kama unavyoisikia. Hata wanaishinda bahati nasibu marekani hukatwa kodi zote kabla hawajapewa chao.
 
Hawatakiwi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria kama wameshalipa marekani.



Article 77(1) ya income tax act inawaruhusu kuwadai kwanza TRA kodi waliyolipa nchi nyingine (kuondoa double taxation) kabla ya kulipa ya Tanzania isichozidi kiwango TRA kitawadai. Sasa kama US walilipa 37% na TRA Inawadai 30% bado tofauti ya 7% worst off.

Kwa mujibu wa sheria hawatakiwi kulipa kodi tena Tanzania unless huko walipotoka wamelipa chini 30% ndio wanafidia deficit.
 
Ningejiuliza, kule marekani hawalipi kodi kama kulipa kodi ni lazima? kwamba wapate pesa marekani waje walipe kodi Tanzania? pia, kama ikijulikana wamelipa kodi Marekani, wanatakiwa kulipishwa tena mara ya pili hapa Tanzania? kwahiyo watu wakienda kutafuta maisha nje ya nchi walipe kodi kule na wakirudi hapa napo walipishwe mara ya pili? HILI NDILO LINATAKIWA KUWA SWALI, kwanza tu ili watanzania waelewe.
 
Hakuna namna, ya KAISARI MPE? TRA Tanzania
 
serikali iliwabia iwapo wana shida youote waende kuongea nao,alisema msigwa katibu mkuu wa wizara ya michezo alipokuwa anawapokea eapoti,nawashauri waende kuongea nae hili suala
 
Sio kweli double taxation haikubaliki
Kila nchi hukata kodi pato unapopatia
Pato lao wamepatia Marekani hivyo kodi italatwa kule

Huwrzi taxation mtu kodi mara mbili kuwa wakija na Tanzania tena unakata haiwezekani
 
Unalipa kodi ili steve nyerere aje kulia kwenye msiba wa kitaifa πŸ˜‚πŸ˜‚, hao jamaa ni bora wapitie Paris waupe moyo pole bongo warudi na nauli baaas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…