Ramadhani Kabwili apata timu Rwanda

Ramadhani Kabwili apata timu Rwanda

Dogo anatafutiwa namna ya kurudi jangwani tu.

Hii inchi ngumu hii
 
Utani usivuke mipaka, kumpa mtu tuhuma nzito kama hizo wakati alizikanusha sio sawa
 
Wamebaki watano pale jangwanj
Aache kale kamchezo sasa
Siku nyingi wako huku
JamiiForums-912427097_480x360.jpg
 
Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga

Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga
Sana tu,machoko wanapiga Mbungi kama kawa tu,Watu hawakumbi iaaue ya Sol Campbell kwani?
 
Watamfilimba huko hadi apate kitambi kilichojaa mijimbegu
Aliyekuwa kipa wa Young African SC(Yanga) Ramadhani Kabwili amesainiwa katika club ya RayonSport(Rwanda) yenye maskani yake Katika jiji la Kigali.

Kabwili amepewa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo ataanza kuitumikia katika msimu huu mpya unaoanza.

Kila la kheri kwake kijana

View attachment 2327237
 
Kwa nature ya football mazoezi yake ni ngumu sana gay kuhimili
Na Kuna kocha bongo hii wa ligi kuu na yeye anatoa ndogo. Lifestyle ya mpira Ina mengi usiwaone tu wakiwa kwenye ground wamependeza Kwa kutupia jezi Kuna dark side Yao.
 
Na Kuna kocha bongo hii wa ligi kuu na yeye anatoa ndogo. Lifestyle ya mpira Ina mengi usiwaone tu wakiwa kwenye ground wamependeza Kwa kutupia jezi Kuna dark side Yao.
Sijaongelea academy za vijana ni uchafu mtupu
 
Aliyekuwa kipa wa Young African SC(Yanga) Ramadhani Kabwili amesainiwa katika club ya RayonSport(Rwanda) yenye maskani yake Katika jiji la Kigali.

Kabwili amepewa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo ataanza kuitumikia katika msimu huu mpya unaoanza.

Kila la kheri kwake kijana

View attachment 2327237
Safi sana, kijana walikufanyia ubaya sana walitakiwa waangalie ufanisi wako wa kucheza na sio ujinga ule
 
Back
Top Bottom