DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
1. HAJIAMINI
anakera sana kitendo chake cha kutoa kadi za njano bila mpangilio ili kupunguza makali ya wachezaji hata kama rafu iliyochezwa haistahili adhabu hiyo,shida inakuja pale mchezaji husika anapocheza rafu inayohitaji hiyo adhabu anakuwa hana la kufanya maana anajua kinachofata ni red,na anaogopa kuitoa.
2. ANAONGEA SANA KULIKO VITENDO
Hili toto linapoona limeshayatindinganya kwa kutoa mikadi isiyo na maana ndipo anapoanza kutumia domo lake baada ya kuendeleza vitendo,inaonekana ili atoe redcard mpaka mtu atoke damu.
3. HAFUATI SHERIA ZA SOKA
Hivi katika mechi za derby sheria za soka zinabadilika? Maana nashangaa kwanini anapenda kubalance mchezo na sheria kuziweka kapuni.
Jana angechezesha refa wa nje anayefuata sheria vema kulikuwa na redcard zisizopungua 3 kwa pande zote mbili, moja wapo ikiwa ya faysal, djuma shaban na mkude, lakini cha ajabu huyu mkude hata njano hakupewa,
NB: ANACHEZESHA KAMA MECHI ZA USWAHILINI, HAKUNA KUTOA PENATI DAKIKA ZA MWISHO, UKITOA REDCARD BASI UTOE PANDE ZOTE, UKIFANYA MAAMUZI TOFAUTI NA HAYO MPIRA HAUISHI.
POOR KAYOKO!